Makku

Makku Media Personality | Journalist.

Tamaa isikufanye unitamani, mimi ni wazimu
25/09/2025

Tamaa isikufanye unitamani, mimi ni wazimu

Where is   ghafla nikakumbuka this amazing kid🥹 Nyie
24/09/2025

Where is ghafla nikakumbuka this amazing kid🥹 Nyie

Audio producer :Mumo beatsStudio :BABAZ INCExucutive producer :ALI BABAVideo director :Jijo drumbeatsset desighner :All-jobzM.U.A :kylie's_touch

Ka Makku kenyewe sasa 😀😀😀
24/09/2025

Ka Makku kenyewe sasa 😀😀😀

Tee Hits Nitapiga nae story   usikose. Atafunguka sanaaaaa
24/09/2025

Tee Hits Nitapiga nae story usikose. Atafunguka sanaaaaa

24/09/2025

9:00am -12noon
Kesho pia ni siku

Team Sikudhani Mzee mwenye Banda Bakari kuna kitu Kipya kinakuja 💣
24/09/2025

Team Sikudhani Mzee mwenye Banda Bakari kuna kitu Kipya kinakuja 💣

😂
24/09/2025

😂

Na mtafute Video Vixens wa maana 🤯invest in your soo called music videos. Ki video njaa vi slay queen vimejaa taka. What...
23/09/2025

Na mtafute Video Vixens wa maana 🤯invest in your soo called music videos. Ki video njaa vi slay queen vimejaa taka. What happened to music videos ziwe k**a movie? Kideo location moja, outfit moja mwanzo Mwisho Alafu hao wadada ni wa bombululu kwa bulo. Heri utulie na audio ibandike audiomack, boom play huko iTunes utulie video waachie wenzako wewe “kaka saidi” 🤮

😅
23/09/2025

😅

23/09/2025


Bora unyanyasike na mtu mwenye pesa au upate heshima kwenye umaskini na njaa?

  vote vote. Wakilisha mtaa wako Kisha pigia kura track yako kali 1. Ziky Mtanah – vumilia2. Kidis – mmnh mmmh3. Happy c...
23/09/2025

vote vote. Wakilisha mtaa wako Kisha pigia kura track yako kali
1. Ziky Mtanah – vumilia
2. Kidis – mmnh mmmh
3. Happy c – the one
4. Shabiggy ft Escobar – watoto wa mungu
5. Tommy de jones ft susumila- kipulupulu
6. Chikuzee - nibebe
7.Ruchi wakanda - overdose
9. KO ft mr blue - for me
10. Echo254 ft Latinoh - Nani
Tracks in Waiting
1. Masauti ft khaligraph - Assurance
2. Rojo Mo - Pantambua ft Enock Bella
3. Nasha Travis -Umenikoroga
4. Ashley Queen - Madabali
5.Happy c - I don’t care

Address


80100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makku posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Makku:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share