16/12/2025
Kwa mara ya pili, tunakualika kwenye Mkutano wa Kielimu unaolenga kuimarisha nafasi ya Shule zinazosomesha Qur’an Tukufu, kwa kuangalia hali ya leo na matarajio ya kesho.
Semina hii itawaleta pamoja wanazuoni na walimu mashuhuri:
Sheikh Madjaliwa | Sheikh Omar Destur | Sheikh Abdul-Azizi | Sheikh Mashaka Djuma
🗓 Tarehe: Jumamosi, 10/01/2026
🕰 Muda: Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 6 mchana
📍 Mahali: Masjid Jamia – Buyenzi 13 N° 32
Semina inalenga:
✅ Walimu wa Qur’an na Tajwid
✅ Wasimamizi wa Madrassa/Halaqah
✅ Wazazi
✅ Wanafunzi
✅ Kila mwenye mapenzi na elimu ya Qur’an
Tunatoa shukrani za dhati kwa wadau wote waliowezesha semina hii.
KARIBUNI NYOTE !