10/07/2025
MY MIND
👨‍💻 WHEN I'M STAY ALONE
1- Usilale na Mke wa mtu
Hili ni deni litakaloitesa damu yako milele
2 - Usiwe na mahusiano na Boss wako
Mkigombana utapoteza mapenzi & maisha
3 - Usije kupendana na EX wa mshikaji wako
Akiachwa na msela, ameachwa na Familia🙌
4 - Ndugu yako akikufundisha Kuvua KAMWE usirushe nyavu mtoni kwake
5 - Ukitambulishwa shemeji acha kutaka kuonekana wewe bora kuliko mwana
6 - K**a wewe sio mjomba basi achana na Mashangazi yaliyokuzidi umriđź‘€
7 - Siku zote heshimu hisia zako, Usilale na mwanamke usiemuamini, Kuna makosa ya gharama kubwa kuliko starehe za siku moja
8 - Usitumie hisia sehemu inapohitajika Akiliđź§
9 - Tunapambana kila siku lakini mtoaji ni Mungu, Mshirikishe Mungu kwa kila jambo sababu wakati mwingine anasubiri uombe ili upewe