02/10/2026
"Namshukuru mama yangu kwa kunipa imani na nguvu, wema amesisitiza kuwa baby Ollie yupo imara sana kwani shughuli zote zime fanyika bila ya kulia wala kutoa machozi" _Wema Sepetu.
Wema Sepetu alieleza kuwa Ollie amepelekwa jando na kutahiliwa, zoezi hili lime fanyika nyumbani kwa mama wa wema sepetu, wazee wa mila walikuwepo kuhakikisha kila kitu kina enda sawa, lakini pia sherehe za asili zilifanyika k**a ilivyo ada.
Wema Sepetu akiwa mwenye furaha amesema watu walikuwa hawajui k**a kuna kudumisha mila baada ya mtoto kwenda jando, japo Ollie alipo pelekwa jando nilikuwa naogopa sana pia nililia