06/08/2025
Tulifika katika kitengo cha kina mama waliowahi kuugua Fistula lakini sasa wamepona na wanaendelea vyema hapa panaitwa THE MABINTI CENTER
Kwa sasa, wamejikita katika shughuli za ujasiriamali hapa hapa hospitalini, wakitengeneza bidhaa mbalimbali kwa mikono yao k**a vile mabegi, batiki, shanga, mapambo ya nyumbani, mikoba na urembo wa kina dada.
Vitu hivi huuzwa kwa wageni wanaotembelea hospitali njia ya kipekee ya kujipatia kipato na kujenga maisha mapya yenye matumaini.
Send a message to learn more