04/11/2025
POLE SANAA ZAINA WAKO😭😭
Msani mkubwa wa uvira siku za nyuma alitangazaka ku achia nyimbo yake ya ambayo ame mshirikisha na
Msani pia akatangaza kuachia kazi yake ya siku hiyo hiyo , kilicho mkuta huko YouTube na mitaani 😭😭😭😭 utaliya
Wimbo wa msani wa BITAKUWA BIEN una endelea kufanya vizuri na inje ya kivu
YouTube ume pokelewa kwa kishindo, huku ngoma ya MR GAVE ZAINA imebuma😭😭
Wasani wengi ikiwemo na wengine watangazaji wamejaribu kumi booster lakini wapi 😭😭 labda atumie ma roboti k**a kawaida yake
Media za uvira zime mutenga msani wa kwao lakini za inje ya uvira ndio zipo namu sapoti SAPOLOGUANO
Nyimbo yake ina endelea kufanya vizuri sanaaa courage🔥🔥