Baraka Media Tunakujuza story, news, skendo za wasanii wote, wa filamu na wa Muziki.

Pia habari mbali mbali zinazohusu Jamii, kisiasa, kisheria, kijamii... Mahoni yako ni muhimu sana kwa mahendeleo ya media hii.

27/12/2025

Miliyo ya risasi yasikika kwa wingi pa Baraka usiku huu

Mr. JUNIOR ATANGAZA ALBUM MPYA**************************************Endapo ulikuwa hufahamu ni kwamba, mwanamuziki wa ki...
30/03/2024

Mr. JUNIOR ATANGAZA ALBUM MPYA
**************************************

Endapo ulikuwa hufahamu ni kwamba, mwanamuziki wa kizazi kipya wa Baraka flever, ametangaza ujio Wa album yake mpya ifikapo April 1, 2024.

Album inagubikwa na nyimbo kumi ambazo zipo kwenye cover (picha) hapo chini.

Ili usikose kupata ngoma za album hiyo, suscribe kwenye Channel youtube yake ulihandika au kwa kubonyeza mahandishi ya blue hapo chini

https://youtube.com/?si=fUYBrNXIKwwkbO4T

UNAHISI NI MSANII GANI NDIYE ALIYELENGWA NA WIMBO   WAKE MSANII LesOscar ?*****************************************Miezi...
18/05/2022

UNAHISI NI MSANII GANI NDIYE ALIYELENGWA NA WIMBO WAKE MSANII LesOscar ?
*****************************************

Miezi chache iliyopita, msanii wa kizazi kipya wa mwondoko wa hip hop, Oscar a.k.a Chui wa tarafa alihachia wimbo wake uliyokwenda kwa jina la .

Wimbo huo ulihibuwa maswali mengi pale ambapo ulihonekana kuhimbwa kwa kumlenga msanii mwengine wa hip hop ambaye hakumtaja jina wazi wazi ila alihimba kwa mafumbo ili hali yule aliye na uhelewa agunduwe kirahisi.

Wewe unafikiri ni msanii gani aliyelengwa ndani ya wimbo huo ? Na kwa Nini alimulenga yeye ? Toa mahoni yako!!!

K**a hujabahatika kusikia wimbo wenyewe, link hiyo nimekusogezea hapo chini👇👇👇

https://youtu.be/AE84JIpnF-Q



Wise Boys : WIMBO MPYA   UPO OUT NOW!!!**********************************Kila Mara panapotokea jambo kubwa, inakuwa sio ...
26/11/2021

Wise Boys : WIMBO MPYA UPO OUT NOW!!!
**********************************

Kila Mara panapotokea jambo kubwa, inakuwa sio fair kulihikalia kimya.

K**a ulikuwa hujafahamu, sasa nakufahamisha. Hile Ngoma uliyohisubiri kwa hamu kubwa imekuwa hewani sasa.

Wasanii wa kundi nguli la muziki wa Baraka Flever, # Wise Boys Business akiwemo , pamoja na , wamehamuwa kukuletea Ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la je. K**a bado kuhisikia, bonyeza hapo chini tu ili ujipakulie kihurahisi👇👇👇
https://youtu.be/tXMjlyWW6ic

Kisha Usikose Pia kutuhambia wewe umehupokea je wimbo huu ?

Eagle Fiziano : MASHABIKI ZANGU WAJIHANDAHE KUPOKEA KITU KIKUBWA OCT 31, 2021**************************************Msani...
28/10/2021

Eagle Fiziano : MASHABIKI ZANGU WAJIHANDAHE KUPOKEA KITU KIKUBWA OCT 31, 2021
**************************************

Msanii wa kizazi kipya toka kundi la [Bbc Band], pa Misisi, ametangaza kuhachia kitu kikubwa ifikapo tarehe 31 Octoba 2021.

Msanii huyu hajaweka wazi kuusu kile alichotaka kumahanisha kwenye masemi yake, ila siku za nyuma amehonekana akiposti picha nyingi zikimuhonesha kwenye location, Hiyo kwa haraka haraka ilihashiria kwamba wenda ni video ya wimbo mpya ambayo itakuja kufurahisha mashabiki zake.

Utakumbuka kwamba, sasa hivi ana ngoma mpya ambayo ni ya tatu kwenye yake aliyobatiza jina la .

Wimbo unahitwa ft Ree_Lodrick from Kamina. Ukiwa bado hujasikia wimbo huu, bonyeza link Hiyo hapo👇👇👇
https://youtu.be/ZpsHrvip4ZU

Kisha jitahidi kuhacha comment, na like yako na Usikose ku suscribe na ku share Pia kwa marafiki zako ili wa suscribe kwa wingi ili kumpa sapoti kubwa msanii wetu.

Una lipi la kumuheleza huyu jama kwa bidii alizo nazo kwenye Muziki wake?



Chris Rickado : NIMEKUJA BURUNDI KWA AJILI YA KAZI NA SI KUSHANGAA MJI, MASHABIKI JIHANDAHENI***************************...
28/10/2021

Chris Rickado : NIMEKUJA BURUNDI KWA AJILI YA KAZI NA SI KUSHANGAA MJI, MASHABIKI JIHANDAHENI
*************************************

ni msanii mwenye asili ya Fizi anayefanyia kazi zake jimboni Kivu Kaskazini mjini Goma.

Siku hizi, anapatikana nchini Burundi kwa ajili ya kazi, na amehakikisha kuwa ameshakuwa na kazi mpya ambayo Siku si nyingi atakuja kuhihachia.

Endapo hujabahatika kusikia kazi inayofanyika na msanii huyu, link Hiyo hapo chini unaweza kujisikilia Wimbo ambao amemshirikisha Raywizy.👇👇👇
https://youtu.be/nM0hAz0Yixs

Usikose ku Suscribe kwenye Channel youtube yake.

Pia Usikose kutoa neno moja kwa Mkali huyu wa , kutoka Emo Music.

Toa mahoni



Future Destin : MSANII ANAYEKUBALIKA ZAIDI KWA KUHIMBA LUGHA YA ASILI****************************************** , ni msa...
27/10/2021

Future Destin : MSANII ANAYEKUBALIKA ZAIDI KWA KUHIMBA LUGHA YA ASILI
******************************************

, ni msanii wa kizazi kipya ambaye kwa muda mchache amefikia kuteka hisia za mashabiki zake, hasa wale wanahosikia lugha ya Kibembe, ambayo ndo lugha pekee anayohimba katika tracks zake.

Akijihita kwa jina la utani "Ula ya babondo" ikimahanisha mtoto wa kwanza wa Babondo yani Wabembe, msanii huyu anahendelea kufanya kazi kubwa ambayo bila shaka k**a umewahi kufatilia kazi zake utakubaliana na mimi.

Baadhi ya Ngoma zake ni pamoja na [Cheza], [Wamezoweya], [Hapana]...

K**a kweli unamkubali msanii huyu, taja Wimbo ambao unahukubali kutoka kwake halafu usisahau ku Suscribe kwenye Channel youtube yake ili kuwa wa kwanza kupata kazi zake.

Pia Usikose kutuheleza unamkubali kwa asilimia ngapi ao %?



22/10/2021

Hujambo mfatiliaji wa habari za Baraka media?

Unatufata ukiwa wapi?

Kipi ungependa tuhongeze ili ujisikie umerizika na kazi zetu?



  News : Bluepen NA Wilson WAPATA OFA YA KUBURUDISHA KWENYE FAINALI YA KAMU CUP PA MBOKO.*******************************...
20/10/2021

News : Bluepen NA Wilson WAPATA OFA YA KUBURUDISHA KWENYE FAINALI YA KAMU CUP PA MBOKO.
****************************************

Wakali hawa wa , Pen pamoja na wametehuliwa kudumbwiza Siku ya jumapili ya tarehe 24 Octoba 2021, kwenye uwanja wa mpira wa Tùsambe, kijijini Mboko ambamo mutashuudiwa fainali, ambayo itazikutanisha team mbili vigogo, Fc Flambeau Raha toka Baraka ambayo itapepetana na Fc Nyuki kutoka Swima.

Wasanii hawa, ambao wanafanya kazi kubwa inayotambulisha muziki wa tarafa la Fizi, wamedahi kuwa Siku hiyo patachimbika, na itabaki historia kwenye muziki wa sekta ya Tanganyika na tarafa la Fizi nzima.

Hakuna cha kujihuliza kihingilio ni ngapi? Wewe handaa tu ticket yako kwa kushiriki kwenye mechi hapo utakuwa umejipatia fursa kubwa ya kuwahona live wasanii hawa wa hip hop wakipafomu ndani ya uwanja huo.

Unahanzaje kukosa kwa mfano, k**a uko mbali handaa nahuli Yako tu ili Usikose hili jambo la kikonki.

Na usisahahu kuwa, kupitia Show hiyo, msanii Blue Pen atakuwa na surprise kubwa kwa mashabiki zake na Wale wapendelevu wote wa Muziki wa nyumbani.

Umoja ndio nguzo ya kila mahendeleo, tusapoti wasanii wetu bado wangai hai.



Babu Johnson : WIMBO WANGU "BACHWA LÙNGÉ" [BANAKUYA TENA] HAHUMLENGI MTU. ATAKAYEGUSWA YANI IMEMUHINGIA SAWASAWA********...
19/10/2021

Babu Johnson : WIMBO WANGU "BACHWA LÙNGÉ" [BANAKUYA TENA] HAHUMLENGI MTU. ATAKAYEGUSWA YANI IMEMUHINGIA SAWASAWA
***********************************

K**a kweli utakuwa na kumbukumbu nzuri, utafahamu kuwa Babu Johnson, ni msanii anayefanya kazi kubwa licha ya ukimya anahokuwa nao kwa wakati fulani.

Ni msanii pekee ambaye hata anaweza timiza mwaka mzima bila kutowa track mpya, ila jina lake linabaki pale pale, na wimbo unaweza ukawa hahusikiki sana mitaani ila akihimba kwenye show utafikiri kapanga mashabiki huyu jama, maana wanahimba wimbo wote mwanzo mwisho.

Swala hilo limempelekea kuwa maharufu sana, si kwamba anafanya mihujiza, ila siri kubwa kwake ni ubunifu aliho naho na hasa kwa swala la kutowakosea ndugu zake wabembe kwa kuhimba lugha yao ya asili, na kuhitendea haki ipasavyo.

Bila shaka utajihuliza, kafanya nini hadi azungumziwe hivi, sasa hivi ana Ngoma mpya ambayo inakwenda kwa jina la , ikimahanisha .

Ujumbe uliyopo kwenye Wimbo huu, nazani k**a kweli wewe ni mzalendo utampa sheria ya kile alichokihimba.

Sasa, endapo hujabahatika kuhusikiliza, bonyeza kwenye link hapo chini👇👇👇 ili upate yale mambo ya kikubwa, Pia usisahahu ku Suscribe, comment na ku share kwa marafiki zako ili kumpa sapoti msanii huyu.
https://youtu.be/FGc00yz8zFg

Unafikiri akishiriki kwenye awards ya Baraka Flever mwaka huu, atahibuka kuwa mshindi kwa upande wa hip hop ?

Toa mahoni yako, na Usikose kupitia Channel YouTube yake.



Adresse

Lumumba
Baraka

Téléphone

+243817598358

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Baraka Media publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Baraka Media:

Partager