Radio Kivu Rck Baraka 93.0 Fm

Radio Kivu Rck Baraka 93.0 Fm Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Radio Kivu Rck Baraka 93.0 Fm, Société de médias/d’actualités, Q. Kalinga Sud, Baraka.

Makamo gavana Jean Jacques ELAKANO apokelewa kwa kishindo katika manispaa ya Katanga.Sikiliza hotuba yake mwanzo mwisho.
04/02/2025

Makamo gavana Jean Jacques ELAKANO apokelewa kwa kishindo katika manispaa ya Katanga.
Sikiliza hotuba yake mwanzo mwisho.

https://youtu.be/YLxeHXrwpgc?si=3m18YGP_4VjmRYofMuhimu leo hii :Mapambano makali yazidi kuendelea katika tarafa ya Masis...
15/01/2025

https://youtu.be/YLxeHXrwpgc?si=3m18YGP_4VjmRYof

Muhimu leo hii :

Mapambano makali yazidi kuendelea katika tarafa ya Masisi, kati ya jeshi la FARDC dhidi ya waasi wa M23 waki saidiwa na nchi ya Rwanda.

Kuna hayo na mengine mengi endelea kusikiliza na usikose kusambaza kwa wengine pamoja na ku like ukurasa wetu ili kupata habari zaidi.

Radio Kivu kisima cha habari.

+243 812 005 594
+243 811 517 772

https://youtu.be/x14_6_BnfLs?si=7UNAeEbcP9DGD1m1Je unapenda kujuwa methali za kibembe na tafsiri zake ? Na unaweza kuzis...
11/01/2025

https://youtu.be/x14_6_BnfLs?si=7UNAeEbcP9DGD1m1

Je unapenda kujuwa methali za kibembe na tafsiri zake ? Na unaweza kuzisema wakati gani ?

Fuata kipindi ÙMBÙ CA BABONDO, leo tuna zungumza kuusu :

1. *Wayaka mboko akyù lùbùla m'mùnga, nalya nalya walosolo na mda mùlé ngyala*
2. *Ùhanga éngù wacundja bikéngé, ibanga lya éngù talebekyaka lùsuku lùmù*
3. *Mkoci w'ibùcwa malé makùlù*

Sikiliza mengi na tafsiri halisi kupitia kipindi hiki kizuri, uta chota mengi zaidi.

Usikose kusambaza kipindi hiki kwa wengine pia ku like ukurasa wetu ili kujuwa mengi zaidi.

https://youtu.be/jaKxVeZYOqo?si=TruGZvotxCufHpPlMuhimu leo hii :Wanachuo wawili wa ISTM Bukavu wakutwa wamefariki katika...
11/01/2025

https://youtu.be/jaKxVeZYOqo?si=TruGZvotxCufHpPl

Muhimu leo hii :

Wanachuo wawili wa ISTM Bukavu wakutwa wamefariki katika kata ya Nkafu mjini Bukavu.

Mji wa Masisi watekwa mara tena na kundi la waasi wa M23 wakisapotiwa na Rwanda.

Usikose kusambaza habari zetu pamoja na ku like ukurasa wetu ili kupata habari zaidi.

Radio Kivu kisima cha habari.

https://youtu.be/OYBvi6B8B08?si=h7p7ZgvazzpdpvE6Muhimu leo hii :Jeshi la taifa kwa ushirikiano na wazalendo wazima shamb...
08/01/2025

https://youtu.be/OYBvi6B8B08?si=h7p7ZgvazzpdpvE6

Muhimu leo hii :

Jeshi la taifa kwa ushirikiano na wazalendo wazima shambulizi la waasi wa M23 kutaka kupenyeza katika tarafa ya Kalehe mkoa wa Kivu kusini, huku hali ya wasiwasi ya tanda katika mji wa Minova.

Endelea kufuatilia ukurasa wetu, usikose ku sambaza kwa wengine na ku like ukurasa wetu ili kupata habari zaidi.

https://youtu.be/w0yxINhtrkg?si=jGU6rFDcKtKkXJiWMuhimu leo hii:Kiongozi wa kijiji cha Mulima sekta ya Tanganyika apiga m...
05/01/2025

https://youtu.be/w0yxINhtrkg?si=jGU6rFDcKtKkXJiW

Muhimu leo hii:

Kiongozi wa kijiji cha Mulima sekta ya Tanganyika apiga marufuko wanamgambo na askari kuingia kwenye vilabu vya pombe wakiwa na silaha.

Fuatilia mengi zaidi ndani ya uchambuzi huu wa habari, usikose kusambaza na like ukurasa wetu ili kupata habari zaidi.

https://youtu.be/BFlZ2oipWsM?si=fkMkGNYZQ-lxk15OFuata habari na uchambuzi wa kina toka Radio Kivu RCK Baraka 93.0.Usikos...
04/01/2025

https://youtu.be/BFlZ2oipWsM?si=fkMkGNYZQ-lxk15O

Fuata habari na uchambuzi wa kina toka Radio Kivu RCK Baraka 93.0.

Usikose kusikiliza habari za michozo ili kufahamu wachezaji wa k**e toka tarafa ya Fizi ambao wameitwa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa.

Sambaza pia kwa watu wengine na usikose ku like ili kunufaika na mengi.

https://youtu.be/uAE9uRtWYrU?si=N6hr9gbl43OzRxdaHabari muhimu leo hii:1. Mama moja pamoja na watoto wake wanusurika kifo...
03/01/2025

https://youtu.be/uAE9uRtWYrU?si=N6hr9gbl43OzRxda

Habari muhimu leo hii:

1. Mama moja pamoja na watoto wake wanusurika kifo baada ya nyumba yao kuchomwa moto pa Malinde sekta ya Mutambala,
2. Raia wa Lubere hawakusherekea mwaka mpya kutokana na mauwaji ambayo yameendeshwa na kundi la ADF,
3. Wizara ya afya tarafani Moba mkoa wa Tanganyika yapanga kuanza shughuli za kuhesabu raia hasa watoto wenye umri usio zidi miaka mitano.
Kuna hayo na mengine mengi pamoja na habari za michozo, fuatilia kwa makini.

Usikose kutumia mwengine pamoja na ku like ukurasa wetu ili kupata habari na vipindi vingi.

https://youtu.be/XmDNDsrUrbg?si=8E-B47O-M27WngEJJe unapenda kujuwa methali za kibembe na tafsiri zake ? Na unaweza kuzis...
02/01/2025

https://youtu.be/XmDNDsrUrbg?si=8E-B47O-M27WngEJ

Je unapenda kujuwa methali za kibembe na tafsiri zake ? Na unaweza kuzisema wakati gani ?

Fuata kipindi ÙMBÙ CA BABONDO, leo tuna zungumza kuusu :

1. 'Yaleya busuku ale anwa a o'o,
2. Ùndé ya mena walya msoma.

Sikiliza mengi na tafsiri halisi kupitia kipindi hiki kizuri, uta chota mengi zaidi.

https://youtu.be/Y9sHVkmXb4c?si=lt-bXJohiWRj365xAweka wazi kuusu swala la:1. Ajira kwa vijana,2. Kazi za ujasiriamali,3....
02/01/2025

https://youtu.be/Y9sHVkmXb4c?si=lt-bXJohiWRj365x

Aweka wazi kuusu swala la:

1. Ajira kwa vijana,
2. Kazi za ujasiriamali,
3. Ujenzi wa barabara ya taifa namba 5,
4. Usalama katika tarafa ya Fizi.
Na mengine mengi fuata mwanzo mwisho unufaike na mengi

https://youtu.be/OsjZ2a2P8DQ?si=FcYpvQX5-s428Hfv1. Ujenzi wa barabara ya taifa namba 5, toka Uvira hadi Baraka,2. Umeme ...
01/01/2025

https://youtu.be/OsjZ2a2P8DQ?si=FcYpvQX5-s428Hfv

1. Ujenzi wa barabara ya taifa namba 5, toka Uvira hadi Baraka,
2. Umeme wa Malicha ili kuwakisha mji wa Baraka,
3. Kuusu swala la gawiya raia wa Fizi mshaara wake.
Fua kwani yapo mengi ambayo amezungumza kuusu kwa nini amechagua kuwa makamo wa gavana na kuacha ubunge.

Adresse

Q. Kalinga Sud
Baraka
-

Téléphone

+243811517772

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Radio Kivu Rck Baraka 93.0 Fm publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Radio Kivu Rck Baraka 93.0 Fm:

Partager