Ebwase Bwase Tv

Ebwase Bwase Tv KARIBU KWA TAHARIFA ZETU ZA KILA SIKU ZA TARAFANI FIZI.NA CONGO NZIMA

  za Kimataifa,  ,  ,  Baada ya taarifa kuenea kuhusu operesheni kubwa za kijeshi katika eneo la Mashariki ya Kati, Ali ...
28/02/2026

za Kimataifa, , ,

Baada ya taarifa kuenea kuhusu operesheni kubwa za kijeshi katika eneo la Mashariki ya Kati, Ali Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran, pamoja na Masoud Pezeshkian, Rais wa nchi hiyo,taarifa za uhakika ni kwamba wapo salama na wenye afya njema, hii ni kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, ripoti ya ABC News imeeleza

Leo tarehe 28 Feb 2026 waasi wa M23 watowa tangazo Rasmi la  kifo cha W***y Ngoma ...mengi hapo chini👇
28/02/2026

Leo tarehe 28 Feb 2026 waasi wa M23 watowa tangazo Rasmi la kifo cha W***y Ngoma ...mengi hapo chini👇

BREAKING NEWS‼️   vya Iran ,USA, Israel Vyanzo vya Israeli vinaarifu kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei a...
28/02/2026

BREAKING NEWS‼️ vya Iran ,USA, Israel

Vyanzo vya Israeli vinaarifu kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameuawa katika mashambulio. Kuwa sambamba nasi

Urgent 🛑  za Kimataifa 🇺🇲🇳🇮🇳🇪Waziri Mkuu wa Israel ameiambia dunia kwamba kuna dalili nyingi Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayat...
28/02/2026

Urgent 🛑 za Kimataifa
🇺🇲🇳🇮🇳🇪
Waziri Mkuu wa Israel ameiambia dunia kwamba kuna dalili nyingi Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa amekufa baada ya shambulio la pamoja la Marekani na Israel. Hata hivyo hakuna uthibitisho rasmi bado, na Iran inasema anaendelea kuishi “kadri tujuavyo.”

  vita DRC . Baada ya vyanzo vya habari na mashuuda kudhibitisha kifo cha Colonel  ***y_Ngoma na kujeruiwa kwa Gen   kat...
24/02/2026

vita DRC .

Baada ya vyanzo vya habari na mashuuda kudhibitisha kifo cha Colonel ***y_Ngoma na kujeruiwa kwa Gen katika shabuliyo la tarehe 24 feb 2026

Habari zilizo tufikiya mda huu ambazo hazijadhibitishwa na ebwasebwase,zina dahi kuwa kiongozi wa Waasi wa kundi la M23 naye ameripotiwa kuuwawa kwenye shambulio hilo .

Video 👇👇

24 February 2026 msemaji wa M23 ***y_Ngoma auawa pamoja na ゚viralfbreelsfypシ゚viral

https://youtu.be/49wtBga15jg

Urgent ‼️  kifo cha Colonel W***y Ngoma.Vyanzo vingi vya habari na mashuuda wameripoti kuwa,katika mashambulizi ya ndeng...
24/02/2026

Urgent ‼️ kifo cha Colonel W***y Ngoma.

Vyanzo vingi vya habari na mashuuda wameripoti kuwa,katika mashambulizi ya ndenge zisizo na rubani maarufu Drones yaliyo fanywa asubui ya leo tarehe 24 February 2026 Mji wa Rubaya Kivu kaskazini,yakiongozwa na jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo FARDC wakishikiana na Wazalendo na Kufanikiwa kulenge kituo alichokuwa Colonel ***y_Ngoma ..

Habari zisizo dhibitishwa toka kwa mashuuda na vyanzo vya habari,Viliripoti Kuwa Colonel W***y Ngoma Aliuawa ndani ya mashambulizi hayo.

Hata hivyo habari hizo zimeleta sintofaamu kwenye mitandao yakijamii na kuleta mvutano mkubwa huku wengi wakisema kuwa,wameisha zoea habari za kuuliwa kwa W***y Ngoma kwani sio mara ya kwanza habari k**a hizo kuongelewa.

Na upande wa Baadhi ya mitandao yao yakijamii inakanusha Habari hizo.

Kaa connect ili tukujuze zaidi ゚viralシfypシ゚viralシ

🇨🇩  Baada ya Kwa kufungwa mpaka baina ya Taifa la Congo Drc na Taifa la Burundi,hatimaye mpaka Huo umefunguliwa na watu ...
23/02/2026

🇨🇩 Baada ya Kwa kufungwa mpaka baina ya Taifa la Congo Drc na Taifa la Burundi,hatimaye mpaka Huo umefunguliwa na watu Sasa wanaruusiwa kupiti ili kuregea manyumbani kwao .

🔴    🇨🇩 Mkutano wa Umoja wa Afrika —   atuma ujumbe wa “Sauvons la RDC”Kwa mujibu wa taarifa tulizopata, baadhi ya wanac...
15/02/2026

🔴

🇨🇩 Mkutano wa Umoja wa Afrika — atuma ujumbe wa “Sauvons la RDC”

Kwa mujibu wa taarifa tulizopata, baadhi ya wanachama wa harakati ya Sauvons la RDC tayari wako mjini Addis-Abeba, pembeni mwa mkutano wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika, kwa kile kinachoelezwa kuwa ni jukumu la kidiplomasia.

Ujumbe huo wa watu sita unaongozwa na Raymond Tshibanda, aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje chini ya uongozi wa rais wa zamani Joseph Kabila.

Wajumbe wengine ni pamoja na:

Néhémie Mwilanya, aliyewahi kuwa mkurugenzi wa baraza la rais wa zamani;

Barnabé Kikaya Bin Karubi, mshauri wa zamani wa masuala ya diplomasia;

Moïse Nyarugabo, seneta wa zamani;

Albert Mukulubundu, kiongozi ndani ya Sauvons la RDC;

Seth Kikuni.

Kwa mujibu wa vyanzo vyetu, lengo la ujumbe huo ni kukutana na marais mbalimbali wa Afrika wanaoshiriki mkutano huo, kwa ajili ya kujadiliana kuhusu hali ya kisiasa na kiusalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Ikumbukwe kuwa rais wa zamani Joseph Kabila hakusafiri kwenda Addis-Abeba kushiriki mkutano huo.

🟥     AMSIFIA FELIX TSHISEKEDIRais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, amemuelezea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya C...
05/02/2026

🟥
AMSIFIA FELIX TSHISEKEDI

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, amemuelezea Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Félix Tshisekedi, k**a:

“Mwanaume jasiri sana na wa kushangaza, rais wa kweli.”

Kauli hii inaonyesha heshima na kutambua uongozi wa Rais Tshisekedi katika uongozi wa taifa la DRC, hasa katika kipindi cha changamoto za kisiasa na kiusalama.

Endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi.. ゚viralfbreelsfypシ゚viral

🇺🇸  Marekani yaangusha ndege isiyo na rubani ya Iran iliyokaribia meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincoln afisa huyo wa ...
03/02/2026

🇺🇸 Marekani yaangusha ndege isiyo na rubani ya Iran iliyokaribia meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincoln afisa huyo wa marekeni ambaye hakutajwa jina alisema...

🟥   , mtoto wa rais wa zamani wa Libya  , anaripotiwa kuuawa katika bustani yake na watu wanne waliokimbia baada ya sham...
03/02/2026

🟥 , mtoto wa rais wa zamani wa Libya , anaripotiwa kuuawa katika bustani yake na watu wanne waliokimbia baada ya shambulio hilo.

🚨 Urgent ‼️     na   Wasaini Mkataba 👇Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kupitia mamlaka ya Kinshasa, na muun...
02/02/2026

🚨 Urgent ‼️ na Wasaini Mkataba 👇

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kupitia mamlaka ya Kinshasa, na muungano wa AFC/M23, wamesaini rasmi hati ya utekelezaji wa maazimio yaliyotokana na Mkutano wa Kimataifa wa Ukanda wa Maziwa Makuu.

Hatua hii inalenga kuweka msingi wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano huo, hususan katika masuala ya usalama, amani ya kudumu na utulivu katika eneo la Maziwa Makuu, ambalo limekumbwa na migogoro ya muda mrefu.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, kusainiwa kwa hati hiyo kunachukuliwa k**a hatua muhimu ya kisiasa na kidiplomasia, inayoweza kufungua ukurasa mpya wa mazungumzo kati ya pande husika.

Jumuiya ya kimataifa inaendelea kufuatilia kwa karibu maendeleo haya, ikitarajia kuona ahadi hizo zikitekelezwa kwa vitendo kwa maslahi ya raia na amani ya kudumu katika ukanda mzima.

Adresse

Baraka

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Ebwase Bwase Tv publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Ebwase Bwase Tv:

Partager