vunjabeimedia Société de média et actualités

Malkia wa Uingereza afariki dunia alitawala miaka 70 jana tariki 07.09.2022 ali mkabizi liz truss uawaziri katika taifa ...
08/09/2022

Malkia wa Uingereza afariki dunia alitawala miaka 70 jana tariki 07.09.2022 ali mkabizi liz truss uawaziri katika taifa ilo

Uhuru Kenyatta amesema ata mkabizi mheshimiwa raisi mpya william ruto akiwa ana tabasamu
08/09/2022

Uhuru Kenyatta amesema ata mkabizi mheshimiwa raisi mpya william ruto akiwa ana tabasamu

Kinshasa, 07 septembre 2022- Uncamion transportant des caillassesa tué sept personnes, mardi 6septembre, au croisement d...
08/09/2022

Kinshasa, 07 septembre 2022- Un
camion transportant des caillasses
a tué sept personnes, mardi 6
septembre, au croisement des
avenues Kinshasa et Marine non
loin de l'hôpital La borne, dans la
commune de Ngaliema, à Kinshasa.

Maziwa ni hatari kwa afya hasa wanaume na wajawazito😂WHO Nimeona Mnataka tufe sasa sisi wazibaziba 😂😂
08/09/2022

Maziwa ni hatari kwa afya hasa wanaume na wajawazito😂

WHO
Nimeona
Mnataka tufe sasa sisi wazibaziba 😂😂

Marufuku kunywa maziwa ya ngombe ina leta magonjwa kwa wanaume na wajawazito kutokana na gazeti zilizo chapiswa marekani...
08/09/2022

Marufuku kunywa maziwa ya ngombe ina leta magonjwa kwa wanaume na wajawazito kutokana na gazeti zilizo chapiswa marekani je? Litakubalika ili

Chelsea ya mfuta kazi kocha wao thomas tuchel
08/09/2022

Chelsea ya mfuta kazi kocha wao thomas tuchel

Janus la plus vieille tortue à deux tête fêtes se 25 ans belle histoire naturelle en Genève
06/09/2022

Janus la plus vieille tortue à deux tête fêtes se 25 ans belle histoire naturelle en Genève

Kundi la kieslam li itwalo Dola lililo fanya shambulio jana
06/09/2022

Kundi la kieslam li itwalo Dola lililo fanya shambulio jana

Les maires de 3 communes de la villede Bukavu, dans la province du Sud-Kivuavertir qu'à partir du 25 septembre, tousadul...
06/09/2022

Les maires de 3 communes de la ville
de Bukavu, dans la province du Sud-Kivu
avertir qu'à partir du 25 septembre, tous
adulte qui n'a pas payé
paiement de l'impôt personnel minimum
(IPM) sera interdit de conduire.

L'Euro plonge sous 0.99$ une première fois en 20 ans  yashuka chini ya $0.99 kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka...
06/09/2022

L'Euro plonge sous 0.99$ une première fois en 20 ans

yashuka chini ya $0.99 kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 20

Habari yako mwana VM, hope hujambokatika afya njema. Katika saa za usoni, Dunia Yetu Leo Saa sita mchana itakuwalive na ...
06/09/2022

Habari yako mwana VM, hope hujambo
katika afya njema. Katika saa za usoni, Dunia Yetu Leo Saa sita mchana itakuwa
live na hizi hapa ni baadhi ya habari tunazofanyia kazi:
🇬🇧Liz Truss hii leo anatarajiwa rasmi kuwa waziri mkuu mpya
wa Uingereza, baada ya hapo baadaye kwenda Scotland
kukutana na Malkia Elizabeth na kisha kuteua baraza la ma waziri
🇬🇧waziri mkuu wa wingereza anaye ondoka boris johnson
anatarajiwa pia kwenda Scotland kuwasilisha barua yake
kujiuzulu kwa Malkia.
🇰🇪:Rais wa Kenya anayeondoka Uhuru Kenyatta jana alitoa
hotuba ya takriban dakika 7 iliyoashiria kwamba anaheshimu
maamuzi ya mahakama yajuu iliyoafiki ushindi wa william
Ruto. Utasikia jinsi wachambuzi walivyoicambia hotuba
iyo
🇺🇲Mataifa tajiri duniani yamesema yatatumia karibu dola
miaka 25 ifikapo mwaka wa 2025 ili kupiga jeki juhudi za afrika ku kabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
🇦🇴Mahakama ya katiba nchini Angola imetupilia mbali
madai ya upinzani kutaka kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu
ambayo yalikipa ushindi chama tawala cha MPLA.
🇺🇦:Shirika la Umoja wa Mataifa lenye dhima na matumizi ya nishati ya atomiki duniani litarajiwa kuwasilisha
ripoti yake kuhusu hali ilivyo katika kinu cha Zaporizhzhia,
siku moja baada ya shambulizi kukatika umeme

Adresse

N4
Bukavu

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque vunjabeimedia publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à vunjabeimedia:

Partager