Radjabu Kiza Kabonga

Radjabu Kiza Kabonga Kupitia News home voice asbl na vyombo vyake vya habari, Baraka1 TV News home TV utapa habari zetu

https://www.facebook.com/share/p/1DJQg9bBid/
04/04/2025

https://www.facebook.com/share/p/1DJQg9bBid/

Asante kwa Wafuasi Elfu 50 na Watazamaji Milioni 4!

Familia ya Baraka1 TV, tumefanikisha hili! Kwa msaada wenu mkubwa, tumefikia wafuasi 50,000 na zaidi na tumepita watazamaji zaidi ya milioni 4! Mafanikio haya ni ushahidi wa nguvu ya ukweli, uandishi wa habari huru, na historia zinazoendeshwa na jamii.

Usaidizi wenu, kushiriki kwenu, na michango yenu vinaendelea kutuimarisha katika dhamira yetu ya kuhabarisha, kuwawezesha, na kukuza sauti muhimu. Huu ni mwanzo tu—mambo makubwa zaidi yanakuja!
Endelea kutazama, kushiriki, na kuunga mkono! Pamoja, hatuzuiliki.

K**a bado hujasajili, jiunge nasi sasa: https://www.youtube.com/

,000

05/09/2024
Listen dogo don't drink pombe just take soda like this much love
16/08/2024

Listen dogo don't drink pombe just take soda like this much love

Let me be like this
16/08/2024

Let me be like this

Do you know this Big Man here ? Ooh dont try Mr William Amuri Yakutumba
31/07/2024

Do you know this Big Man here ? Ooh dont try Mr William Amuri Yakutumba

26/06/2024
RDC Kinshasa : MAHAKAMA KUU JIJINI KINSHASA YAWAFIKISHA WALIYOJARIBU MAPINDUZI KIZIMBANIBaada ya kujaribu mapinduzi nchi...
08/06/2024

RDC Kinshasa : MAHAKAMA KUU JIJINI KINSHASA YAWAFIKISHA WALIYOJARIBU MAPINDUZI KIZIMBANI

Baada ya kujaribu mapinduzi nchini Drcongo na kushindikana waalifu wafikishwa mahamani hii Siku ya Tano tarehe 7 za mwezi wa 6 mwaka 2024.
Watu wapatao 53 walikifishwa katika mahak**a moja jijini Kinshasa kwa kosa la kujaribu mapinduzi hiyo tarehe 19/5/2024, wakiongozwa na bwana Christian Malanga aliyeuwawa Siku hile hile ya Jaribio hilo.
Waalifu hao wanakabiliwa na makosa ya ugaidi, mauaji, ualifu wa kutumia silaha, kushirikiana na magaidi,

Kivu kaskazini :Alliance fleuve Congo M23 RDF wauliwa kwa wingiMagaidi wa Alliance fleuve Congo M23 RDF wauliwa kwa wing...
06/06/2024

Kivu kaskazini :Alliance fleuve Congo M23 RDF wauliwa kwa wingi

Magaidi wa Alliance fleuve Congo M23 RDF wauliwa kwa wingi katika mapambano ya kuanzia tarehe 3/6 mpaka 6/6/2024

Hali kwa sasa sio nzuri sana magaidi wa Alliance fleuve Congo M23 RDF maana Siku za hivi karibuni wamekutana na mkono wa chuma kutoka kwa Fardc wazalendo wakishirikina na majeshi ya samidrc.
Mashambulizi ya waasi hao kuanzia tarehe 3 mpaka 6 mwezi huu wa 6 mwaka huu wa 2024 inaonyesha magaidi 65 wamekufa na wengine 75 kupata majeraha makubwa.

Adresse

Uvira
Bukavu

Téléphone

0976974979

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Radjabu Kiza Kabonga publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager