BMR Aseme News BMR Aseme News

Votre source fiable d’actualités en temps réel.

Nous vous offrons des infos vérifiées, locales et internationales, diffusées en plusieurs langues, notamment en kiswahili
Restez informés, restez connectés, suivez-nous pour ne rien manquer !

12/06/2026

Nchini , kiongozi wa upinzani, Martin Fayulu, amejeruhiwa wakati wa sit-in (maandamano ya kukaa chini) yaliyoandaliwa na upinzani leo siku ya tano tarehe 12/06 hapo mjini Kinshasa.
Taarifa zaidi zinafuata...

BMR Aseme News

12/06/2026

Nchini , kiongozi wa upinzani, Martin Fayulu, amejeruhiwa wakati wa sit-in (maandamano ya kukaa chini) yaliyoandaliwa na upinzani leo siku ya tano tarehe 12/06 hapo mjini Kinshansha.
Taarifa zaidi zinafuata...

BMR Aseme News

  :  amesema :"Nchi yetu inaongozwa kwa kiburi, kwa kukandamiza uhuru wa wananchi, kwa unyang'anyi wa mali za umma, na k...
12/06/2026

:
amesema :

"Nchi yetu inaongozwa kwa kiburi, kwa kukandamiza uhuru wa wananchi, kwa unyang'anyi wa mali za umma, na kwa ubaguzi mkubwa."

Na akaongeza:
"Hatua muhimu sana imepigwa kuelekea kuimarishwa kwa utawala wa kidikteta."

BMR Aseme News

  :Zaidi ya tani 1,400 za coltan zilizotolewa Rubaya zinasemekana zilipelekwa Rwanda kwa njia ya magendo katika muda wa ...
12/06/2026

:
Zaidi ya tani 1,400 za coltan zilizotolewa Rubaya zinasemekana zilipelekwa Rwanda kwa njia ya magendo katika muda wa mwaka moja, kulingana na ripoti ya Global Witness.
Madini hayo yanasemekana baadaye yaliingia katika mnyororo wa usambazaji wa kampuni kubwa za teknolojia na magari k**a Sony, Microsoft, Amazon, Nvidia na Toyota.

BMR Aseme News

  : le gouvernement se félicite de la stabilité des prix et du taux de changeLa Première ministre, Judith Suminwa Tuluka...
11/06/2026

: le gouvernement se félicite de la stabilité des prix et du taux de change

La Première ministre, Judith Suminwa Tuluka, a présidé, ce mercredi 10 juin 2026 à Kinshasa, une réunion du Comité de conjoncture économique consacrée à l’examen de la situation économique et financière du pays.

À l’issue des échanges, les membres du gouvernement ont salué la poursuite de la stabilité des prix sur le marché ainsi que le maintien d’un taux de change stable, des indicateurs jugés encourageants pour l’économie nationale.

 : Ubelgiji imekataa kuweka marufuku ya kuingia kwa raia wa Kongo kutokana na Ebola, ikisema hakuna ushahidi wa kisayans...
11/06/2026

: Ubelgiji imekataa kuweka marufuku ya kuingia kwa raia wa Kongo kutokana na Ebola, ikisema hakuna ushahidi wa kisayansi unaounga mkono hatua hiyo. Wakati huo huo, Marekani inahimiza nchi za Ulaya kuweka vikwazo hivyo, lakini Brussels inaona vinaweza kuwa na madhara kwa afya ya umma. Marekani imeonya kuwa inaweza kuchukua hatua dhidi ya nchi zitakazopuuza pendekezo lake.

BMR Aseme News

Ebola : La Belgique défie Washington et refuse de fermer ses frontières aux CongolaisBruxelles, 10 juin 2026 – Dans un g...
11/06/2026

Ebola : La Belgique défie Washington et refuse de fermer ses frontières aux Congolais

Bruxelles, 10 juin 2026 – Dans un geste de souveraineté assumée, la Belgique a rejeté catégoriquement la demande des États-Unis d’interdire l’entrée des ressortissants de la République démocratique du Congo (RDC), du Soudan du Sud et de l’Ouganda sur son territoire. Cette requête américaine, motivée par la crainte d’une propagation de l’épidémie d’Ebola via l’Europe à l’occasion du Mondial de football, a été écartée par les ministres européens de la Santé dès le 5 juin.

Le gouvernement fédéral belge a annoncé sa position de manière explicite, en concertation avec l’Union européenne. « Une interdiction d’entrée, personne ne propose cela en Europe. Et je vais aller encore plus loin. Les États-Unis, en tant que pays, portent une responsabilité écrasante dans ce qui se passe en Afrique, du fait qu’ils ont drastiquement réduit leur coopération au développement et leur aide médicale. Cette politique américaine aura bientôt des millions de morts sur la conscience », a déclaré Frank Vandenbroucke, ministre belge de la Santé.

Selon l’Organisation mondiale de la santé (OMS) et le Centre européen de prévention et de contrôle des maladies, ni la fermeture des frontières ni la quarantaine automatique ne sont recommandées à ce stade. L’Union européenne privilégie donc des contrôles renforcés dans les aéroports au départ de la RDC et de l’Ouganda, plutôt qu’une mesure discriminatoire.

Cette décision intervient alors que les États-Unis avaient menacé de fermer leurs propres frontières aux ressortissants des pays européens qui n’appliqueraient pas leur demande. La Belgique, forte de ses liens historiques avec la RDC, a choisi une approche fondée sur la science et la solidarité, évitant ainsi une stigmatisation des populations africaines touchées par l’épidémie.

L’affaire illustre les tensions transatlantiques sur la gestion des crises

Voice of Congo

🔴🇨🇩 HARAKA (CENI): CENI imetoa ripoti ya mwaka ikisema kuwa kwa sasa haina pesa za kutosha za kuandaa uchaguzi wa mwaka ...
03/06/2026

🔴🇨🇩 HARAKA (CENI): CENI imetoa ripoti ya mwaka ikisema kuwa kwa sasa haina pesa za kutosha za kuandaa uchaguzi wa mwaka 2028. Ripoti hiyo pia inaonyesha kwamba bado kuna madeni yaliyobaki kutoka uchaguzi wa mwaka 2023.
Wakati huo huo, kuna mjadala kuhusu mpango wa kubadilisha Katiba.
🗣️ Hayo yamesemwa na Rais wa CENI, Denis Kadima.

BMR Aseme News

31/05/2026

No comment

31/05/2026

:
Kisha Mauwaji ya watu zaidi ya sita (6) Usiku ya siku ya sita ya le 30 mei na waasi wa ADF/NALU, mukiwemo pamoja na jamaa yake.
Vijana wanasitika nakuingiya bala balani.

Adresse

Bukavu

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque BMR Aseme News publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager