KIVU Swahili RADIO TV

KIVU Swahili RADIO TV KIVU Swahili RADIO TV NI REDIO YA KIVU INAYO TOA TARiFA SAHIHI KWA LUGHA YA KISWAHILI

Watoto wa kivu tuna mlia mwanzilishi wa kundi la maimai general major sikatenda amefia jela hapo kinshansa ,Watoto wa Ki...
05/06/2025

Watoto wa kivu tuna mlia mwanzilishi wa kundi la maimai general major sikatenda amefia jela hapo kinshansa ,
Watoto wa Kivu Félix kaja kuuwa ma afisa na wanasiasa wote wa kivu ni mda sasa wa wazalendo kuachana na Félix kisekedi

AFC-Alliance fleuve congo
05/06/2025

AFC-Alliance fleuve congo

23/05/2025

Hotuba ya raisi mstaafu joseph kabila (video)

Ni myaka 9 sasa Celebrating my 9th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it w...
16/05/2025

Ni myaka 9 sasa

Celebrating my 9th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Etienne tchisekedi wa mulumba akiwa pichani na vingozi wa RCD goma 1999 kushoto ni kiongozi azarias ruberwa Ila kwa sasa...
11/05/2025

Etienne tchisekedi wa mulumba akiwa pichani na vingozi wa RCD goma 1999 kushoto ni kiongozi azarias ruberwa
Ila kwa sasa Félix tchisekedi anakua ni raisi mwenye chuki na watu wa Kivu ijapokua baba yake alikua mwanachama wa RCD na rafiki wa Kagame

11/05/2025

Angalia raia wanavo sumbiliwa na wazalendo risasi wana piga ovyo na kunyanganya mali za raia , hii ni tatizo kubwa Kivu kwetu

09/05/2025

Jeshi la ARC M23 tayari limeushika kijiji cha katotoga na kamanyola vidéo 👉👉👉

Kardinali Robert Prevost ametangazwa kuwa kiongozi ajaye wa Kanisa Katoliki. Yeye ndiye Papa wa kwanza kutoka Marekani n...
08/05/2025

Kardinali Robert Prevost ametangazwa kuwa kiongozi ajaye wa Kanisa Katoliki. Yeye ndiye Papa wa kwanza kutoka Marekani na kuchukua jina la papa Leo XIV.

04/05/2025

Mobutu alipinga ubaguzi wa ukabila mda mrefu sana

04/05/2025

Video 👉👉
Kundi la wazalendo wamekata tamaa nakula njaa hawana misaada yoyote

Kwenye picha ni raisi mstaafu Joseph Kabila mwaka 2013 akiwa kwenye uwanja wa mapanbano hapo Kibati Je raisi wa sasa tan...
30/04/2025

Kwenye picha ni raisi mstaafu Joseph Kabila mwaka 2013 akiwa kwenye uwanja wa mapanbano hapo Kibati

Je raisi wa sasa tangu achaguliwe kwa mara ya pili amewahi hata kutembelea goma na Bukavu ?

Wanajeshi waliotumwa chini ya Mwamvuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) Mashariki mwa Jamhuri ya Kide...
29/04/2025

Wanajeshi waliotumwa chini ya Mwamvuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameanza kuondoka, kupitia Rwanda mnamo Aprili 29, 2025.

Kikosi cha SADC, kinachojumuisha Wanajeshi kutoka Afrika Kusini, Tanzania na Malawi, kilifanya mchakato wa awali kwa uhakiki rasmi hati katika kivuko kikuu cha mpaka kati ya Rwanda na DRC.

Wakati idadi kamili ya Wanajeshi waliohusika bado haijawekwa wazi kutokana na ombi la SADC, takribani malori saba yaliyokuwa yamebeba zana za kijeshi, yakisindikizwa na magari madogo yenye maafisa wasimamizi, yalizingatiwa.

Awamu hii ya awali ililenga kurudisha vifaa na kuandamana na kikosi kidogo cha askari, huku makundi makubwa yakitarajiwa kufuata.

Wanajeshi hao wanasafiri kwa njia ya Rubavu-Kigali-Rusumo kuelekea Wilaya ya Chato kaskazini-magharibi mwa Tanzania.

Mkutano wa Viongozi wa SADC na Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Tanzania mnamo Februari 8, 2025, ulihitimisha kuwa mazungumzo ya kisiasa yalitoa njia bora ya kutatua mzozo wa DRC, na kusababisha viongozi wa SADC mnamo Machi 13 kumaliza kazi ya kijeshi na kuamuru kuondoka kwa awamu
UDPS Tshisekedi Officiel Paul Kagame FRANCE 24 English RFI Kiswahili

Adresse

Bukavu

Téléphone

+243808768884

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque KIVU Swahili RADIO TV publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager