Studa TV STUDA TV c'est une chaîne en ligne qui fait la promotion de vos talent et couvrir les événements culturels et marketing

Nimajibu ya    baada ya maswali kuwa mengi nakumuuliza Nini Mahana ya alama anayo penda kufanya kila Léo kwenye fan amej...
05/06/2025

Nimajibu ya baada ya maswali kuwa mengi nakumuuliza Nini Mahana ya alama anayo penda kufanya kila Léo kwenye fan amejibu na nikuu

>

ungana na Studa TV tena kwa habari zenye uhakika



Ivi unajuwa kwamba   aliwa buluza sana wenzie kwenye show   ilio fanyika kavumu kunako     !!!!!
05/06/2025

Ivi unajuwa kwamba aliwa buluza sana wenzie kwenye show ilio fanyika kavumu kunako !!!!!

🎇🎇Ni baada ya SHOW🎤🎤 kubwa kufanyika pa kavumo ambayo iliyo fanyika kunako     ilio wakutanisha wasanii mbalimbali akiwe...
05/06/2025

🎇🎇Ni baada ya SHOW🎤🎤 kubwa kufanyika pa kavumo ambayo iliyo fanyika kunako ilio wakutanisha wasanii mbalimbali akiwemo nawengine wakubwa ambapo wali hudhuria watu kutoka 🌐pembe zote za Kivu Siku ya mungu tarehe 01June 2025
Full vidéo on YouTube

Ungana na Studa TV tena kwa habari zenye uhakika zaidi


kwa wengine

R***r   alivyo wachanganya watu hadi kubaki midomo wazi Na flow iliokuwa na kasi isio kuwa yakwaida ambapo iliaminika kw...
05/06/2025

R***r alivyo wachanganya watu hadi kubaki midomo wazi Na flow iliokuwa na kasi isio kuwa yakwaida ambapo iliaminika kwa dakika 13 aliimba mistari ambayo ilikuwa Sawa Sawa nanyimbo 4 za wasaniii wengine kwenye show ha ilio fanyika kavumo kwenye Resto_Bar

Ungana na Studa TV tena kwa habari zenye uhakika zaidi


kwa wengine

Overdose d'Arts/Asbl nous disons merci pour la confiance et de nous avoir confié vôtre activités
28/05/2025

Overdose d'Arts/Asbl nous disons merci pour la confiance et de nous avoir confié vôtre activités

25/05/2025

⭕Live Parformence à kavumo 🌇

Aimer et partager la page

25/05/2025

Capita Amon kaja na ngoma kali tena ambayo inaendelea kufanya vizuri kwenye challenge ingawa wimbo kamili hauja achiwa rasmi Ila kipande hicho kinaonekana kufanya vizuri kwenye mitandao yakijamiii

Ungana na Studa TV tena kwa habari moto moto

25/05/2025

Baada ya muda mchekeshaji Kaonekana tena n'a cha moto pisi ya kweli kabisaaaaa

🔥 *HABARI NJEMA KWA WAFUASI WETU!* 🔥  Msanii maarufu wa Bukavu *Capita Amon* anarudi tena na *wimbo mpya "MAPUWA"* – New...
24/05/2025

🔥 *HABARI NJEMA KWA WAFUASI WETU!* 🔥
Msanii maarufu wa Bukavu *Capita Amon* anarudi tena na *wimbo mpya "MAPUWA"* – New Challenge! 🎶
Usikose kuutazama *Jumamosi hii, tarehe 24 Mei 2025 saa 3 usiku (21:00)* kupitia *Tiktok*

🎥 *STUDA TV* tutakuwa pamoja nanyi kwa karibu, tukifuatilia kila hatua ya burudani hii ya kipekee kutoka kwa wasani wote Bukavu bila uchaguzi

➡️ *Jiunge na chaneli yetu sasa na usipitwe na lolote!*
# STUDA TV
Studa TV
Overdose d'Arts/Asbl
Sud-Kivu, Democratic Republic Congo
New graphic KLB'S family
Bukavu

🎨 *ACTU CULTURELLE – CE DIMANCHE !*STUDA TV, votre *media partenaire officiel*, vous invite à *ne rien manquer de l’évén...
23/05/2025

🎨 *ACTU CULTURELLE – CE DIMANCHE !*

STUDA TV, votre *media partenaire officiel*, vous invite à *ne rien manquer de l’événement Overdose d’Art* ce *dimanche* !
📲 *Abonnez-vous dès maintenant à notre page* pour suivre la couverture en direct, les artistes présents, les performances, et tous les temps forts de cette journée exceptionnelle.

🎥 Ensemble, vivons la culture autrement !

Studa TV
Overdose d'Arts/AsblSud-Kivu, Democratic Republic Congo

21/05/2025

📰 *Habari Maalum kwa Wafuasi wa Chaneli Yetu STUDA TV 📺Urithi wa Michael Jackson Wazidi Kunga!*

Wapenzi wa muziki duniani kote, leo tunawaletea habari ya kusisimua! 🎤🌍

K**a mnavyofahamu, *Michael Jackson* alibaki kuwa msanii wa kipekee, mwenye mvuto wa ajabu, na aliyetikisa dunia kwa vipaji vyake kuanzia uimbaji, kucheza, hadi uwasilishaji wa maonyesho ya kuvutia.

Lakini sasa, *msanii mpya ameibuka*, akijiita *Michael Jackson mjini umgereza London k**a heshima kwa mfalme huyo wa Pop! 🎙️🕺

👉 Msanii huyu mpya anaiga *mtindo wa uchezaji*, *mavazi*, na hata *muonekano wa jukwaani*, akifufua kumbukumbu za MJ na kuwafanya mashabiki wapya na wa zamani kuungana tena na roho ya muziki wake. Anaonyesha wazi kuwa *urithi wa Michael Jackson hautakufa*, bali utaendelea kuishi kupitia vizazi vijavyo vya wasanii.

🎬 Katika maonyesho ya hivi karibuni, mashabiki walijikuta wakihisi k**a MJ mwenyewe amerudi jukwaani — kwa sababu *nguvu, sauti, na style* ya msanii huyu mpya ni ya kushangaza!
New graphic KLB'S family
Sud-Kivu, Democratic Republic Congo
Bukavu

Adresse

Routes De L'hôpital Général De Panzi
Bukavu

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Studa TV publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Studa TV:

Partager

Type