Wesh'art TV Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Wesh'art TV, Création digitale, Mongali, Butembo.

Marioo ndiye msanii pekee anaye trend namba moja huko Tanzania kwenye mitandao za kijamii
29/06/2026

Marioo ndiye msanii pekee anaye trend namba moja huko Tanzania kwenye mitandao za kijamii

🔴🔴WESH-NEWZ🔴🔴  Baada ya kusikika kuwa msanii Joelike yuko miongoni mwawale wasanii kumi na mbili (12) ambao wataenda wak...
26/06/2026

🔴🔴WESH-NEWZ🔴🔴




Baada ya kusikika kuwa msanii Joelike yuko miongoni mwawale wasanii kumi na mbili (12) ambao wataenda wakilisha Kivu ya kaskazini " " kwenye ushindani wa Vodacom Best of the BestVodacom Best of the BestBest huko mjini Kinshasa , hiyo jambo imeleta maswali mengi vichwani mwa mashabiki zake pamoja na wapasha habari wengi.

🔸Ikumbukwe huyu msanii yuko chini ya label Lurhex ProductionProduction inayo fanya vizuri hapa kivu.

🔹Ma swali ni:

▪️Je uongozi wake ndiye umemuhusu afanye hivyo?
▪️Au, yeye mwenyewe kajiamuliya kutafuta njia nyingine yaku sogeza mziki wake mbele?

✴️Alafu kwa upande wako ungemshauri nini msanii wako JOE like newsJOE like newsnews ?

➡️Usikose kutufuatilya Wesh'art TVTV

Kivu Music ActKivu Music ActAct Beni Visuel Trace Wasani Joelike Goma, Democratic Republic CongoGoma, Democratic Republic CongoGoma, Democratic Republic CongoCongo INFOS CONGO +INFOS CONGO ++

26/06/2026

With F2B Style Gang – I just got recognized as one of their top fans!

Karibuni
23/06/2026

Karibuni

📢 ANNONCE OFFICIELLE
Bienvenue sur ⚡️🙏🔥
🔥Creative Media 🔥
Flash Apex est une plateforme média moderne dédiée à l’information, au divertissement et à la créativité digitale.

Nous avons pour mission de donner une nouvelle voix à la jeunesse en partageant des contenus rapides, fiables et inspirants sur l’actualité, le sport, la culture et le lifestyle.



🎯 NOS OBJECTIFS

📰 1.Informer le public avec des actualités rapides et vérifiées
🎥 2.Promouvoir les talents locaux et africains
⚽ 3.Couvrir le sport et les grands moments
🎭 4.Offrir du divertissement et du contenu viral
💡 5.Inspirer la jeunesse à travers des contenus positifs et créatifs
🌍 6.Développer un média digital moderne en Afrique et au-delà



🚀 MESSAGE FINAL

, ce n’est pas seulement une page… c’est un mouvement digital pour faire briller l’information et la créativité.

👉 Suivez-nous pour ne rien manquer : 🔥



🚨🚨🚨WESH-NEWZ🚨🚨🚨Baada ya msanii wa muziki tokea mjini Beni ambaye ni   kuachia Album yake ya kwanza inayo kichwa   imeone...
20/06/2026

🚨🚨🚨WESH-NEWZ🚨🚨🚨

Baada ya msanii wa muziki tokea mjini Beni ambaye ni kuachia Album yake ya kwanza inayo kichwa imeonekana kupokelewa vizuri na mashabiki.

Kwa hiyo team yake ya F2B F2B Style GangStyle Gang chini ya uongozi wa wameamua ku kiwasha kupitia matamasha mfululizo ambazo zitaanzia Beni🇨🇩 mpaka Kasese-Uganda🇺🇬
Siku hii ya leo na kesho watoto wa Beni-Kanzuli ambapo huyu msanii anaishi, mujiandae kwa wakati muzuri. Baada ya hapo safari sasa inaanza.

Tafadhali musikosze ku tufuatilia
Wesh'art TVTV for knowing more about your artist
Beni VisuelVisuel Trace Wasani Kivu Music ActAct F2B Style GangF2B Style GangGang

20/05/2026

Rapa Billnass alishinda tuzo za muziki Tanzania (TMA) kwa mara ya kwanza na kutoa nyimbo zilizopata namba kubwa katika majukwaa ya kidijitali kuliko zote za mwanzo baada ya kufunga ndoa na Nandy.

Ikiwa ni takribani miaka tisa tangu alipotoka na wimbo wake, Raha (2014), Billnass alishinda tuzo ya TMA kwa mara ya kwanza katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Hip Hop 2022.

Katika TMA 2015 na 2021, hakushinda ila baada ya kuingia tu katika ndoa, basi ikawa baraka kwa kushinda mbele ya wakali wa Hip Hop k**a Fid Q, Joh Makini, Country Wizzy na Kala Jeremiah.

Utakumbuka ushindi huo ulikuja baada ya Billnass kufanya vizuri na wimbo wake, Puuh (2022) ulioweka rekodi k**a wimbo wa Bongofleva uliosikilizwa zaidi Boomplay Music 2023 ukiongoza chati kwa wiki sita.

Hadi sasa wimbo huo aliomshirikisha Jay Melody, ndio wimbo pekee wa Billnass aliosikilizwa zaidi Boomplay, pia ndio wimbo wake ambao video yake imefanya vizuri zaidi YouTube ikiwa imetazamwa zaidi ya mara milioni 17.

Na mwaka huo wa ndoa, Billnass alikuwa msanii wa pili wa Hip Hop Bongo aliyetazamwa zaidi YouTube, video zake zilitazamwa zaidi ya mara 25.9, huku akiwa ametanguliwa na Darassa aliyetazamwa mara milioni 28.6.

Don't Miss IT Plz!!!
25/04/2026

Don't Miss IT Plz!!!

🤔🤔Bado saha zaku hesabu tuu, ila tambueni kua surprise ni nyingi kabisa.Itahandikwa historia kesho 📅tarehe 26 April 2026...
25/04/2026

🤔🤔Bado saha zaku hesabu tuu, ila tambueni kua surprise ni nyingi kabisa.

Itahandikwa historia kesho 📅tarehe 26 April 2026📅 mjini BUTEMBO kwenye 🏟️uwanza wa mpira Matokeo🏟️ naye msanii gwiji👑 wa Kivu kwanini isiwe Congo nzima naye simwingine a boy from Beni Demba Nyama Mkali kwenye kichwa cha show hiyo na amealika wasanii tokea corner mbalimbali

👉BUTEMBO
- KAMALA LEUSA
-
- Kharly hamuli officiel
-

👉 GOMA
- Maël Jedis

👉BUNIA
-

👉 KAMPALA - UGANDA 🇺🇬
-

💸💸Kiingilio ni Elfu Tano za kikongo (5000 FC)

Nyama Mkali kasema kila kitu kimeshaa kamilika na yuko tayari kuwa chezesha🕛 kuanzia saa sita ya mchana hadi saa moja ya usiku 🕖(12h-19h) "HAMUTA SAHAU KITU"

Adresse

Mongali
Butembo
44

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Wesh'art TV publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager