Fizi Empire Record Label and Management Agency, Founded By eloge Iamfiziboy. Proud to be a fiziboy 🇨🇩🇨🇩

  Anaitwa BRUNO KINYAMA Ndo  Msani Wa Kwanza Mwaka Huu Wa 2025 Kusumbuwa Media Zote Za Tv Online Apa Mjini Baraka.BRUNO ...
19/06/2025



Anaitwa BRUNO KINYAMA Ndo Msani Wa Kwanza Mwaka Huu Wa 2025 Kusumbuwa Media Zote Za Tv Online Apa Mjini Baraka.

BRUNO KINYAMA Msani Wa Kazizi Kipya Anaye Onekana Kuja Na Speed Ya Juu Mjini Baraka Ameonekana Akifanya Media Tour Kwa Media Zote Za Wa Mji Wa Baraka Kitu Ambacho Wasani Wengi Wa Baraka Awana Ana Wakifanyia Kabisa.

Kwa Mtazamo Wako Unaisi BRUNO KINYAMA Atakuja Kubadilisha Mfumo Wa Mziki Wa Baraka???

KESHO Ndo DEMAIN : DOUBLE FACE Yake Belami Muka Itakuwa Out

Ebu Tembelea Channel Yake Na Huu Enjoy Mziki Mzuri Kutoka Kwa BRUNO KINYAMA

https://youtube.com/?si=ojjfNRrnZhHG7vto

DOUBLE FACE Ndo Habari Ya Mjini, BELAMI MUKA Mbioni Kuachia Album Yake Kwanza Mara Ya Kwanza Tangu Alipo Ianza Safari Ya...
07/06/2025

DOUBLE FACE Ndo Habari Ya Mjini, BELAMI MUKA Mbioni Kuachia Album Yake Kwanza Mara Ya Kwanza Tangu Alipo Ianza Safari Ya Mziki.

Belami Muka Moja Kati Ya Wasani Wazaliwa Wa Tarafa Na Fizi Wanao Wakilisha Vema Zaidi Mziki Wa Nyumbani Sehemu Nyingi Duniani ( Diaspora ) Amekuja Na Sura Mpya Na Kutangaza Ivi Karibu Tarehe 20 Juin 2025 Kuachia Album Yake DOUBLE FACE.

Ebu Tuambie Kwenye Commenty Ni Wimbo Gani Ulikufanya Kuwa Mpenzi Wa Mziki Wa Belami Muka???

Kuwa Wa Kwanza Kuisikiliza Ngoma Mpya Kutoka Kwake JOHNP | WABAYA Ndo Wimbo Wake Mpya Na Tayari Upo Kwenye Channel Yake ...
29/10/2024

Kuwa Wa Kwanza Kuisikiliza Ngoma Mpya Kutoka Kwake JOHNP | WABAYA Ndo Wimbo Wake Mpya Na Tayari Upo Kwenye Channel Yake Ya YouTube 👇👇

https://youtu.be/iFUZVYroUdU?si=ITnASErZOHUvbjuT

Usikose Kusambaza Kwa Wengine | Mwamba Katisha Sanaa Kwenye Wimbo Huu Anastaili Kupewa Mauwa Yake

DRAMA BOY LE PADRE APANDIA JUU KWA JUU MSANI MINOS TIGER KUTOKA MISISIHii Ni Baada Ya Minos Kutowa Kauli Na Kusema Kwamb...
18/08/2024

DRAMA BOY LE PADRE APANDIA JUU KWA JUU MSANI MINOS TIGER KUTOKA MISISI

Hii Ni Baada Ya Minos Kutowa Kauli Na Kusema Kwamba Wasani Wa Baraka Waache Kuweka Lawama Kwa Kamati Ya Baraka Flever Kuhusu Mziki Kuchuka Kiwango

Ndipo Drama Boy Le Padre Mkali Wa Wimbo Tik Tok Na Msani Ambae Iko Chini Ya Label Ya SOUND OF FIZI Ametowa Yake Ya Moyoni Na Kusema :

Anaye wahambiya kwamba wasani Wa Baraka flever utegemeya Baraka flever ninani twende kwenu misisi kamati yenu ina watu ngapi kwa sasa twende uko Uvira kamati yao ina watu ngapi mpaka sasa uliza baraka flever kuhanziya tuchague ivi tunaenda kumaliza muhula wa zachard kamati inawatu ngapi nikuhulize wewe Minos kamati inaweza ikawa ya watu wawili mbele ya kusema uliza brod

Towa Maoni Yako

Tu Wakumbushe Kwamba Ivi Karibu Drama Boy Anakwenda Kuachia Wimbo Wake Mpya | Unaweza Ku SUBSCRIBE Kwenye Channel Yake Ya YouTube Kupitia Hii Link

https://youtube.com/?si=M-FokJOCeiBgIcb5

TANGAZO TANGAZOFizi Empire Studio Inawatangazia Wasani Wote Walio Shiriki Kwenye Wimbo TUHUNGANE By All Stars, Kufika St...
16/08/2024

TANGAZO TANGAZO

Fizi Empire Studio Inawatangazia Wasani Wote Walio Shiriki Kwenye Wimbo TUHUNGANE By All Stars, Kufika Studio Siku Ya Pili Tarehe 27 Mwezi Huu Wa 8 Na Saa 2 Za Asubui.

Ili Kushiriki Kwenye Video Ya Wimbo Huo,

Usisahau Kuja Na Valia Nguo Nyeupe Ao Nyeusi....

Unaposoma Ujumbe Huu Mjulishe Na Mwengine

 Tuna Sikitika Kuwa Tangazia Kifo Cha Baba Mzazi Wa SADI BABA Kilichokea Siku Ya Leo Mjini Bujumbura.Pumzika Kwa Amani D...
02/07/2024



Tuna Sikitika Kuwa Tangazia Kifo Cha Baba Mzazi Wa SADI BABA Kilichokea Siku Ya Leo Mjini Bujumbura.

Pumzika Kwa Amani Daddy

 SMALTO BABAZ Kupitia Camera Za Fizi Empire Tv Aweka Wazi Tatizo Za SMALTO BEST AWARD Kutokufanyika Mwaka Huu, Na Maoni ...
03/05/2024



SMALTO BABAZ Kupitia Camera Za Fizi Empire Tv Aweka Wazi Tatizo Za SMALTO BEST AWARD Kutokufanyika Mwaka Huu, Na Maoni Yake Kuhusu Wasani Wa Nyumbani Na Kipi Kina Sababisha Mziki Wa Nyumbani Kushuka Kiwango.

Vile Vile Aweka Wazi Kuhusu Mkataba Wao Na Msani Wa Kile Delicia Kuhusu Channel Yake YouTube Pia Ameonya Baadhi Ya Page Za Apa Nyumbani Kuwa Na Posty Habari Bila Kuchunguza.

Full Interview Iko Apa 👇🏾👇🏾👇🏾

https://youtu.be/a7VmlOu9VWc?si=W0eykOghxNKt_0gJ

 Tayari Msani Kongwe Wa Mziki Wa Baraka Na Fizi, MR JUNIOR FIDEK Ametangaza Kuachia Album Yake Kwa Mara Ya Kwanza Ambao ...
03/04/2024



Tayari Msani Kongwe Wa Mziki Wa Baraka Na Fizi, MR JUNIOR FIDEK Ametangaza Kuachia Album Yake Kwa Mara Ya Kwanza Ambao Ina Beba Nyimbo Zake 10 Ndani Yake Mna Nyimbo Alizo Wahi Kuaziachia Zamani Lakini Ameamuwa Kuzikusanya Na Kuziweka Kwenye Albamu Ambao Inaitwa DUNIA.

Na Sasa Ivi Amesha Anza Kuziachia Ngoma Moja Moja Kupitia Channel Official Ya YouTube.

Kumbuka Mr Junior Ni Moja Kati Ya Wasani Wa Mziki Wa Baraka Ambao Mpaka Sasa Ivi Wanaendelea Kutowa Ma Ngoma Bila Kuchoka, Uku Wengi Alio Anza Nao Safari Ya Mziki Wameonekana Kupotea Kwenye Game

Follow MR JUNIOR FIDEK On YouTube 👇🏾

https://youtube.com/?si=sIqp60n7-WiwNVJi

ÙMBÙKA By Tina Brenda Feat Mr Junior & Babu Johnson | BEHIND THE SCENES
04/02/2024

ÙMBÙKA By Tina Brenda Feat Mr Junior & Babu Johnson | BEHIND THE SCENES

ÙMBÙKA By Tina Brenda Feat Mr Junior & Babu Johnson | BEHIND THE SCENES@DIA@dplatnumz

 Tunayo Masikitiko Ya Ku Watangazia Wapenzi Wa Mziki Wa Nyumbani Kifo Cha Msani Wa Misisi Flever Ambae Amejulikana Kwa J...
21/01/2024


Tunayo Masikitiko Ya Ku Watangazia Wapenzi Wa Mziki Wa Nyumbani Kifo Cha Msani Wa Misisi Flever Ambae Amejulikana Kwa Jina La BIG PLAY KAMANDA.

Pumzika Kwa Amani

 Awa Ndo Wasani Wa Nyumbani Ambao Wame Kuwa Nominé Kwenye BEST AWARD UVIRA 2023Ebu Anza UtaBiri Wako, Unahisi Nani Ataru...
04/01/2024


Awa Ndo Wasani Wa Nyumbani Ambao Wame Kuwa Nominé Kwenye BEST AWARD UVIRA 2023

Ebu Anza UtaBiri Wako, Unahisi Nani Atarudi Na Tunzo Nyumbani???


Drama Bøy Le Padri
Jaystan OG
Dj Razzy Mkali Drc
Babu Johnson
Chris Rickado music

Adresse

Fizi

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Fizi Empire publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Fizi Empire:

Partager