Kivu flever All udaptes ! Promotion des touts les talents YouTube channel 👇
https://youtube.com/-jn5cr
(6)

03/05/2026

Msanii RAMBO akiwa kwenye interview na music actu, alisema kwamba wanao mulingalisha na Afande Ready wanakoseya kwani afande ready alianza mziki yeye bado alikua shule

02/05/2026

Muchekeshaji Mwenye Byake akiwa zake na Vevo

Les gens pense que c'est L'IA À son tour, INNOSS'B affiche son soutien à Fally Ipupa, pour son double stade de France 🇫🇷...
01/05/2026

Les gens pense que c'est L'IA À son tour, INNOSS'B affiche son soutien à Fally Ipupa, pour son double stade de France 🇫🇷 🔥

  le nouveau clip🎬 vidéo de l'artiste Gloria Bash est disponible déjà sur YouTube le lien 🔗 dans le commentaire
01/05/2026

le nouveau clip🎬 vidéo de l'artiste Gloria Bash est disponible déjà sur YouTube le lien 🔗 dans le commentaire

Rien que l'amour INNOSS'B à  Ipupa démain au stade de France🇫🇷
01/05/2026

Rien que l'amour INNOSS'B à Ipupa démain au stade de France🇫🇷

Hili si jambo lakawaida muchekeshaji Mwenye Byake aendeleya kuimba samani na Eshima Sanaa ya Kivu, kwa kazi anayo ifanya...
01/05/2026

Hili si jambo lakawaida muchekeshaji Mwenye Byake aendeleya kuimba samani na Eshima Sanaa ya Kivu, kwa kazi anayo ifanya amesha fanya kazi na comedian wengi sana, kubwa zaidi nikuonenaka ndani ya ambayo ni Séries ya Muigizaji Vevo Big boss Ep 29 nendeni YouTube muachie commenti kwakuweka bendera ya 🇨🇩 kwakuonesha sapoti kwa kijana wenu huyu !

Nouveau projet Joelike ft  mawete 🔥bientôt
01/05/2026

Nouveau projet Joelike ft mawete 🔥bientôt

01/05/2026

Msanii Afande Ready aonekana akiwa Studio akifanya recording ya ngoma ambayo anamuimbia msanii mwenzie aliye fariki sikuza nyuma hapa , ikumbushwe kwamba Americano ndo alimupandishaga kwa mara ya kwanza stegeni

Licha ya umaarufu na ushawishi ambao msanii Bargoss anao kwenye mziki wa mashiriki mwa Drc Congo 🇨🇩 bado anaendeleya kus...
01/05/2026

Licha ya umaarufu na ushawishi ambao msanii Bargoss anao kwenye mziki wa mashiriki mwa Drc Congo 🇨🇩 bado anaendeleya kushirikiana vizuri kbs na wasanii wenzie wa nyumbani hapo ni akiwa location akiangalia namuna msanii mwenzie malk aki shoot challenge ya ngoma yake mpya, ambayo challenge hiyo tayari iko tiktok.

Kwa mujibu wa Lydiah Mandaka kwakutolewa mahari anasitahili dola 200.000$ ndo kiwango ambacho Anasitahili, kwa mtazamo w...
01/05/2026

Kwa mujibu wa Lydiah Mandaka kwakutolewa mahari anasitahili dola 200.000$ ndo kiwango ambacho Anasitahili, kwa mtazamo wako unaona aje kiupande wako ?

Ikumbushwe pia upande wa mziki wake mwana Dada huyu anaendeleya kufanya vizuri zaidi 🔥

Mchekeshaji maarufu Kivu Fido Drc akiwa kwenye picha ya pamoja na mama yake mzazi ❤
01/05/2026

Mchekeshaji maarufu Kivu Fido Drc akiwa kwenye picha ya pamoja na mama yake mzazi ❤

Tu as reconnu qui sur cette 📷photo ?
01/05/2026

Tu as reconnu qui sur cette 📷photo ?

Adresse

Goma
BP60GOMA

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Kivu flever publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Kivu flever:

Partager