GOMA Film's Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de GOMA Film's, Studio de cinéma/télévision, Goma.

06/04/2025

Nenda Salama acteur wetu ! Patrick ! Kweli nime amini Duniya siyo mbaya ila wanadamu njo wabaya ! Tuta kukumbika daima Kaka!

28/07/2024

Mambo vipi ? Je ! Mungu ana kupenda ! K**a ana kupenda chukuwa dakika mbili ! Andika ! Asante kwa upendo wako mungu!

Izi Ni série ambazo zinafurahisha watu wengi ndani na inje ya inchi !  Suite iko njiyani !  K**a hauya zipata ingiya You...
26/07/2024

Izi Ni série ambazo zinafurahisha watu wengi ndani na inje ya inchi ! Suite iko njiyani ! K**a hauya zipata ingiya YouTube andika titre uta pata ao Tuma message nikutumiye lien ya YouTube ! Asante kwa kupenda série za watoto wa goma !

Film ya wasani wa goma na wale wa Tanzaniya !  iko tayari ku YouTube cliquéz ici !  Hujambo ndugu yangu NDOWA NA MKONGO ...
01/07/2024

Film ya wasani wa goma na wale wa Tanzaniya ! iko tayari ku YouTube cliquéz ici ! Hujambo ndugu yangu NDOWA NA MKONGO episode02 sasa ipo tiyali naomba usikose
👏🏾👇🏻👇🏻
SUBSCRIBE
LIKE
COMMENT
SHERE pia ili tukuze vipaji vya watoto wetu👇🏻👇🏻👇🏻

13/06/2024

NDOWA NA MKONGO ! Ni film ya wasani wa goma na wele wa Tanzaniya ! itakuwa disponible lundi !

Bientôt sur vos écrans !  Goma vs Tanzanie ! Titré ya film ni !  NDOWA NA MKONGO !   itakuwa disponible lundi ! Kwetu go...
12/06/2024

Bientôt sur vos écrans ! Goma vs Tanzanie ! Titré ya film ni ! NDOWA NA MKONGO ! itakuwa disponible lundi ! Kwetu goma ! Usikose kufwatiliya kazi iyi ! Merci ! N'oublie pas de partage !

12/06/2024

Goma yulu ! Basani ya Goma bame cheza na basani ya Tanzania Série: titré ni NDOWA NA MKONGO ! Coming soon !

28/05/2024

série ya WAZIRI Kinvuli ! Inazidi furahisha watu wengi ! K**a hauya yifwata ingiya ku édition ya mu quartier ! Bado YouTube

Fwata série kali !  Tena kali ambayo itakufurahisha sana ! Jina ni MTOTO WANGU !  Courage kwa wasani wa groupe les Évolu...
20/05/2024

Fwata série kali ! Tena kali ambayo itakufurahisha sana ! Jina ni MTOTO WANGU ! Courage kwa wasani wa groupe les Évoluant cinéma production

Adresse

Goma

Téléphone

+243993135524

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque GOMA Film's publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager