Ahlus sunnah goma News

  • Home
  • Ahlus sunnah goma News

Ahlus sunnah goma News Page pour ahlus sunnah Goma en Rdc

03/06/2025
*RATIBA YA DARSA KWENYE MARKAZ IMAM SHAFIY , KUANZIA TAREHE 09 JUIN MPAKA TAREHE 21 AOÛT 2025**SIO KHASWA KWA WANAUNFUNZ...
19/04/2025

*RATIBA YA DARSA KWENYE MARKAZ IMAM SHAFIY , KUANZIA TAREHE 09 JUIN MPAKA TAREHE 21 AOÛT 2025*

*SIO KHASWA KWA WANAUNFUNZI WA INTERNAT, NA WANAFUNZI WA INJE WANARUHUSIWA KUHUDHURIA*

*WA MWANZO KUJIANDIKISHA WATAPATA VITABU BURE*

KWA KUJIANDIKISHA WASILIANA NA NAMBA : *0994779795*

*WALIMU NI NDUGU ZETU WABORA WANAOSOMA KWENYE NCHI YA SAUDIA ARABIA*

15/06/2024
umoja wa wanafunzi unayo furaha ya wa kuwatangazia waislamu wote kuwa unaandaa *SÉMINAIRE IMAM SHAFIY 3ème ÉDITION*  Sém...
26/03/2024

umoja wa wanafunzi unayo furaha ya wa kuwatangazia waislamu wote kuwa unaandaa *SÉMINAIRE IMAM SHAFIY 3ème ÉDITION*

Séminaire itaanza inshaallah tarehe *01/07/2024*
Kwenye *INSTITUT AZUHURI /VIRUNGA*

kwa yeyote mwenye kutaka kujiandikisha atembelee lien ifwatayo :

https://forms.gle/CNSxoUnbLoZSphQk6

*NB: WATAKAO JIANDIKISHA MAPEMA WATAPATA VITABU BURE*

kwa mafasirio zaidi wasiliana n'a namba zifwatazo :

+966599048972
+966572069467

SEMINAIRE ITAFANYIKA KWENYE INSTITUT ADHUHURI VIRUNGA KUANZIA LE 01/07/2024 KWA MDA WA MIEZI MBILI

Karibu kwa wote
26/03/2024

Karibu kwa wote

25/01/2024

*بسم الله الرحمن الرحيم*


السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

إن شاء الله بعون الله تعالى و وتوفيقه

baada ya harakati za électricité, kesho tutaswalia ijumaaa ya kwanza katika msikiti wetu mpya

ma carreaux na rangi vitatukuta humo inshaallah

allah amlipe kheir kila anaeendelea kuchangia kwa kidogo au kingi katika ujenzi wa nyumba yake

بارك الله فيكم و جزاكم الله خيرا

Kesho tukutanane markaz insha Allah

https://chat.whatsapp.com/LOcGPVAErZQ8ga30QIiWBP

23/03/2022

📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢📢
As salaam a'laykum wa rahmatullahi wa barakaatuh

Uongozi wa markaz Al Hidaayah una tangazia waislamu wote wa Goma ya kua kuna andaliwa kikao kwenye markaz dimanche 27/03/2022
Na 8h30
Kufika kwa kila mtu ni muhimu Sana kutokana na maongezi inayo andaliwa
Kwa hiyo tufike kwa uwingi na tuheshimu mda ili kikao kimalizike mapema

بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ahlus sunnah goma News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share