MTV News DRC Pour de vraies nouvelles pour vous Information about Security, Peace, Reconciliation and Development

16/10/2025

OCTOBA 16 2025 REDIO MTV 1 ONLINE

16/10/2025

Wakaazi wa vijiji mbali mbali vya kamuronza wilayani Masisi wamswali mkuu kiongozi wa Masisi kuhusu hali ya kimaisha wanayo pitia baada ya kutoka katika kambi za wakimbizi pembezoni mwa Mji wa Goma.

16/10/2025

Wana chama wa Odinga waomba askari kuwa watulivu kuacha wananchi wamlie kiongozi wao kwa amani.

16/10/2025

Kenya

Wakenya wafurika kwenye uwanja wa ndege kusubiri mwili wa Marehemu Odiga.

16/10/2025

Kenya
Maandalizi ya kupokea mwili Waz Odinga ya endelea Nairobi.

DRCNaibu Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi wa Taifa na Masuala ya Maveterani, MHE. Bw. Guy Kabombo Muadiamvita, alitembelea ...
15/10/2025

DRC
Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi wa Taifa na Masuala ya Maveterani, MHE. Bw. Guy Kabombo Muadiamvita, alitembelea Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Kamina mnamo Jumatano, Oktoba 15, 2025, kutathmini maendeleo ya mafunzo ya kijeshi.

Kweli kwa maono ya Kamanda Mkuu, H.E. Bw. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo, anaweka mkazo hasa katika mafunzo na nidhamu, nguzo za jeshi imara na la jamhuri, kwa mujibu wa Maagizo ya Kudumu ya Mawaziri (DMP) yaliyotolewa mapema mwaka huu.

15/10/2025

M23 yaomba FDLR kurudi kwao Rwanda Mapema .

mwito huo umetolewa na uongozi wa M23 na mkuu kiongozi wa Masisi Kivu Kaskazini.
Taaarifa zaidi Thomson Udji Batangalwa .

15/10/2025

M23 yaomba wapiganaji waa FDLR kujisalimisha kwani shirika za kimataifa za UNHCD lipo tayari kuwarejesha nyumbani kwao .

M23 imesema kwa sasa njia ni wazi kwa wapiganaji wote wa FDLR ambao ni chanjo cha mzozo mashariki mwa Congo Kurudi nyumbani kwao.

15/10/2025

Upinzani DRC.
k**a msomaji na mtazamaji wetu unadhani kwanini taifa la kenya ambalo memba wa EAC wamekuwa wakipokea mikutano ya kufanya mabadiliko nchini DRC.ukitazamaia AFC ilio anza Kenya na kwa sasa mkutano wa Upinzani Kenya.

unafikiria kwanini taifa hilo lawapokea mara kwa mara wapinzani wa DRC.vipi uhusiano wa kenya na DRC.

15/10/2025

OCTOBA 15 2025 REDIO MTV 1 ONLINE

15/10/2025

DRC /Beni
Vijana wawili wajeruhiwa kwa risasi na vyombo vya usalama Mjini Beni wakati walipkuwa wakiomba usalama uimarishwe na mauaji kukomeshwa Mjini Beni na wilaya zake.

Adresse

Goma
Goma

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque MTV News DRC publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager