Uenezaji Gospel Choir

Appeler Site Web

Uenezaji Gospel Choir We are Uenezaji Gospel Choir from Kituku SDA Church based in DR Congo, Goma city. Our greatest mission is evangelization to the whole world through our songs.
(1)

COMING SOON New banger Alert
16/08/2026

COMING SOON New banger Alert

🎤 Baraka Janvier, mmoja wa waimbaji wetu wa Uenezaji Gospel Choir, tena akiwa kwenye sauti ya Tenor. Amejitoa kwa moyo k...
14/08/2026

🎤 Baraka Janvier, mmoja wa waimbaji wetu wa Uenezaji Gospel Choir, tena akiwa kwenye sauti ya Tenor.

Amejitoa kwa moyo katika huduma ya Mungu, akitumia kipawa chake kugusa mioyo na kueneza ujumbe wa Injili.

Baraka, endelea kung’aa katika huduma hii ukiwa Baraka kwa wengine.

07/08/2026
Day 04: Makambi 2026 Mwongozo /Tanzania pamoja na Uenezaji Gospel Choir. Tuna waalika nyote.
04/08/2026

Day 04: Makambi 2026 Mwongozo /Tanzania pamoja na Uenezaji Gospel Choir.
Tuna waalika nyote.

03/08/2026

Yesu ndiye yote katika yote by Mchungaji Christopher Ungani.

Wa Dada na Mama wa Uenezaji Gospel Choir, Wapendeza kwa utukufu wa Kazi ya Bwana.
03/08/2026

Wa Dada na Mama wa Uenezaji Gospel Choir, Wapendeza kwa utukufu wa Kazi ya Bwana.

Vijana wa Uenezaji Gospel Choir.
03/08/2026

Vijana wa Uenezaji Gospel Choir.

Jana siku ya sabato, Tume anza   rasmi inchini Tanzania kwenye Kanisa la Mwongozo.
02/08/2026

Jana siku ya sabato, Tume anza rasmi inchini Tanzania kwenye Kanisa la Mwongozo.

31/07/2026

Karibu Uenezaji Gospel Choir katika inchi ya Tanzania. Tukutane kwenye Kanisa la Mwongozo.

20/06/2026

Interview , Uenezaji Gospel Choir Ă  Kitshanga. Part 01

Adresse

Goma
119

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Uenezaji Gospel Choir publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager

Catégorie