Chama Cha Kiswahili Kabianga

Chama Cha Kiswahili Kabianga Chama Cha Kiswahili Cha Kabianga ni chama kinachowaleta wanafunzi wote wa Kiswahili chuoni na lengo kuu ni kukikuza Kiswahili...

Karibuni WaSWahili..Huku nrio nyumbani...
08/07/2026

Karibuni WaSWahili..
Huku nrio nyumbani...

CHAMA CHA WANAFUNZI WA KISWAHILI KABIANGA [CHAKIKA]KINAWATAKIYA SIKU NJEMA YA KUSHEREHEKEA WAFANYAKAZI NDANI YA NCHI YET...
01/05/2026

CHAMA CHA WANAFUNZI WA KISWAHILI KABIANGA [CHAKIKA]
KINAWATAKIYA SIKU NJEMA YA KUSHEREHEKEA WAFANYAKAZI NDANI YA NCHI YETU.
MWENYEZI MUNGU AWAPE NEEMA NA NGUVU TELE ZA KUTEKELEZA WAJIBU WENU KWA UPENDO,AMANI NA UMOJA



KWA MAENDELEO ENDELEVU
NA KITUKUZWE KISWAHILI

Ukifika wakati kiSwahili kianze kututii kikamilifu, ndipo tutakapolegeza misimamo ya kukitetea na kukiendeleza.Hadi hapo...
15/03/2026

Ukifika wakati kiSwahili kianze kututii kikamilifu, ndipo tutakapolegeza misimamo ya kukitetea na kukiendeleza.Hadi hapo, tunasimama imara nacho.

Kwetu Kabianga husemwa: “kiSwahili ni miongoni mwa utamaduni wetu.” Kinatutii, kinatukubali, nasi tunatembea nacho kwa fahari—kimeshiba.



na kuendeleza KiSwahili

Asanteni sana  Karama, Dkt Obwocha, BW.Ageta, Chachaki-kisii, Chakibo -Bomet kufika na kufanikisha kongamano letu,chakik...
15/03/2026

Asanteni sana Karama, Dkt Obwocha, BW.Ageta, Chachaki-kisii, Chakibo -Bomet kufika na kufanikisha kongamano letu,chakika tunawapenda sana 🥰

KISWAHILI KIENDELEE KUKUZWA



Mc Ageta
CHAWAKAMA

CHUO KIKUU CHA KABIANGAKiswahili si lugha ya mawasiliano tu bali ni njia ya kujenga ajira, ubunifu, uongozi na utambulis...
14/03/2026

CHUO KIKUU CHA KABIANGA

Kiswahili si lugha ya mawasiliano tu bali ni njia ya kujenga ajira, ubunifu, uongozi na utambulisho wa Kiafrika.

Chuo Kikuu Cha Kisii.
Chuo Kikuu Cha Bomet.





Ndani ya CHUO KIKUU CHA KAG EAST, kongamano la CHAWAKAMA-KENYA
13/03/2026

Ndani ya CHUO KIKUU CHA KAG EAST, kongamano la CHAWAKAMA-KENYA

Hili litakuwa kubwa 📚📚📚📖
13/03/2026

Hili litakuwa kubwa 📚📚📚📖

  NA KUENDELEZA KISWAHILI
13/03/2026

NA KUENDELEZA KISWAHILI

Adresse

P. . O. Box 20200
Kabianga

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Chama Cha Kiswahili Kabianga publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager