
01/12/2024
Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Tell me, Msanii Kelvin Key-White Kelvin anakuja na ngoma mpya akimshirikisha msanii tokea mjini Goma Official Sisco raggar ngoma ambayo itakua hewani ivi karibuni .
Kaeni mkao wa kula✍️