Umbeya kwetu tv

Umbeya kwetu tv Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Umbeya kwetu tv, Chaîne de télévision, Kalemie.
(1)

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Plata Maridadi Kukata Dredy Zake✅Mwanamuziki Plata Amekatiwa Dredy Zake,Mpaka Sasa Atujajuwa Nini Ki...
27/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Plata Maridadi Kukata Dredy Zake✅

Mwanamuziki Plata Amekatiwa Dredy Zake,Mpaka Sasa Atujajuwa Nini Kimemkuta Mpaka Kufikia Kutolewa Dredy Zake Kichwani.

Ivi Unajuwa Baazi Ya Mashabiki Waanza Kumshambulia Dredy Plata Kuwa Amebakilia Msani Wa Picha.

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑CULTURE ACTUALITÉ/ Kupitia Ukurasa Wake Manager Wa Msani Kral Boy Ambaye Ni Ne-Yo Ameposti Kuwa Ni K**a Wamesha Mpata M...
27/05/2026

🛑CULTURE ACTUALITÉ/ Kupitia Ukurasa Wake Manager Wa Msani Kral Boy Ambaye Ni Ne-Yo Ameposti Kuwa Ni K**a Wamesha Mpata Mwanamke Kinacho Baki Nikuangalia Yupi Sahihi Ili Atangazwe Mbele Ya Watu✅

Tuko Najiuliza Uyu Bibi Mwenye Alitafutiwa Ku Réseaux Sociaux,Iko Savile Couple Byabo Byote Bitakuwa Bya Ku Réseaux😂😂

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Désormais KATA COURANT Yake Amido Amadarp Itakuwa Disponible Vendredi 29 Mai 2026 Kwenye Platform Za...
27/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Désormais KATA COURANT Yake Amido Amadarp Itakuwa Disponible Vendredi 29 Mai 2026 Kwenye Platform Zake Zote✅

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Mpaka Sasa Mashabiki Wanajiuliza Fikira Zenu Yake Joy B Craq Imekwamia Wapi ?✅Kwa Afya Yako Bora Tum...
27/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Mpaka Sasa Mashabiki Wanajiuliza Fikira Zenu Yake Joy B Craq Imekwamia Wapi ?✅

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Mpaka Sasa Watu Wanatamani Kusikia Neno Moja Kutoka Kwa Key White ✅Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Saf...
27/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Mpaka Sasa Watu Wanatamani Kusikia Neno Moja Kutoka Kwa Key White ✅

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑CULTURE ACTUALITÉ/ Mpaka Sasa Kupitia Sondage Yako,Tukiachana Na Vote Ya Makuta Nani Anastahili Ku Occupé Nafasi Ya Kwa...
27/05/2026

🛑CULTURE ACTUALITÉ/ Mpaka Sasa Kupitia Sondage Yako,Tukiachana Na Vote Ya Makuta Nani Anastahili Ku Occupé Nafasi Ya Kwanza Ku La Star Du Tanganyika Version Masculine ?✅

Ila Tutaomba Uongozi Wa Organisation Wakati Ya Kutosha Makuta,Bakuwe Banaweka Ayo Bayana, Ili Kila Muntu Aone 2500$ Kwa Premier Gagnant,Ju Tuko Na Umbeya Wa Ndani Selon Ma Close Ya Organisation Naba Artistes Partipents.

Aseme Coco Corine Alitafutaka Jibu Façon Alisikiaka Point De Presse Ya Boss😂

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑CULTURE ACTUALITÉ/ Trésor Business Kutuma Ujumbe Kwa Mécène K**a Jiwe La Giza✅Kupitia Statuts Whatsapp Yake Business Al...
27/05/2026

🛑CULTURE ACTUALITÉ/ Trésor Business Kutuma Ujumbe Kwa Mécène K**a Jiwe La Giza✅

Kupitia Statuts Whatsapp Yake Business Alioposti Vidéo Fupi Ya Poduim Iliojengwa Mbele Ya Hôtel Tcham Kwa Ajili Ya EXPOBETON,Mwamba Aliposti Na Kuandika Ujumbe Mfupi Ulio Gusa Mécène Wa Mji Wa Kalemie,Akidai Kuwa Ni K**a Awana Uwezo Wa Kufanya Alicho Kifanya Boss Wa Malikiya Wa Tanganyika Beach JAMAL.

Sasa Tunajiuliza Sote Tunajuwa Kuwa Kalemie Mara Nyingi Tunawaita Mécène Ni Watu Wa Wili Maharufu Ikiwemo Bonfils Kateko Na Daniel Tchimix,Kwa Upande Wako Unazani Wa Wili Hao Awawezi Kufanya Alicho Kifanya Jamal?

Lakini Pia Tukumbushe Poduim Iyo Imekuwa Ya Kwanza Kutumikishiwa Mjini Kalemie,Poduim Yenye Urefu Wa 18m.

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

27/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Kevah Shineboy Atangaza Kuja Na Mzigo Wake Comme Toi,Ivi Karibuni Baada Ya Mda Mchache Kuonekana Mu Tournage✅

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Mwanamuziki Voldie Mapenzi Awasili Kalemie✅Mwanadada Voldie Mapenzi Awasili Kalemie Kupitia Aliko Ya...
26/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Mwanamuziki Voldie Mapenzi Awasili Kalemie✅

Mwanadada Voldie Mapenzi Awasili Kalemie Kupitia Aliko Ya Boss Wa Malikiya Wa Tanganyika Beach Kushiriki Kwenye Final Ya Concours La Star Du Tanganyika Version Masculine Na Maswala Ya Miss Lakini Pia Kwenye Performance Ya EXPOBETON.

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Kwa Sasa Selon Sondage Ya Wambeyas Mpaka Sasa Vladmir Shakis Boy Na The Mingongo Ndio Wasani Wanao S...
26/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Kwa Sasa Selon Sondage Ya Wambeyas Mpaka Sasa Vladmir Shakis Boy Na The Mingongo Ndio Wasani Wanao Shikilia Bendera Ya Est Drcongo✅

Una Enjoy Challenge Ya MOTEMA Ukiwa Pande Gani Mbeya Mwanzetu?

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Am-Bada Aonekana Ndani Ya Ndege CAA✅Bila Kuongeya Chochote K**a Tunavyo Onaga Wengine,Hatimaye Wambe...
26/05/2026

🛑MUSIQUE ACTUALITÉ/ Am-Bada Aonekana Ndani Ya Ndege CAA✅

Bila Kuongeya Chochote K**a Tunavyo Onaga Wengine,Hatimaye Wambeya Twamnasa Mzee Wa MBAYA Ndani Ya Usafiri Wa Ndenge Akihelekeya Lubumbashi,Mpaka Sasa Ajasema Objectif Ya Safari Iyo.

Ikumbukwe Yapata Siku Nne (4jours) Toka Mwamba Ahachie Kazi Yake Mpya Ambayo Inakaribia Kufikisha Watazamaji 2.000 Vues Uko YouTube.

Mbeya Unapatia Mbaya Yake Am-Bada Pourcentage Ngapi Mpaka Sasa?

Kwa Afya Yako Bora Tumia Maji Safi Ambayo Ni Lukuga Water ✊

Adresse

Kalemie

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Umbeya kwetu tv publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Umbeya kwetu tv:

Partager