07/03/2022
HABARI KUTOKA COMMUNE YA MINEMBWE,
vikosi vya kigaidi MAI MAI, wanapanga kugawa vita 1:bibogobobogo
2; minembwe na 3; kundondo
Kinacho sikitisha ni kwamba vita hi imepiganwa myaka tano, na ma pasteur wengi sana wakibembe wamekuwa wakienda kwenye vita, kuiba mifugo ya RAIYA WA KINYAMULENGE
RAIYA wa bibogobogo na minembwe mujichunge sana, kuna vikosi vya kigaidi mai mai vinajiandaa.
Inasemekana watu waliuwa general MSHOMBE NA ILUNGU, ni kokosi kilio toka BURUNDI kikiletwa na NALUVUMBU, kikosi hicho kilikuja kupunguza nguvu za mai mai, kinauwa wakubwa wao wote badae kiuwe hawa wadogo pia, wabembe mjichunge na hawa wafuliru munasaidiana watawageuka.
SASA RAIYA WA COMMUNE MINEMBWE WAJICHUNGE sana,
TUNAOMBA AMANI NA MABADIRIKO HAPA MINEMBWE
https://youtu.be/sniCzwjNUwchttps://youtu.be/sniCzwjNUwchttps://youtu.be/sniCzwjNUwc