Wasafi  officiel Congo-Kinshasa

08/11/2019

BABALAO

Wasafi Fm FOR EVERYTHING

07/11/2019

HAYA TUNATAKA TUONE KWELI WEWE NI BABA LAO / MAMA LAO

Ticket comment only....Dropisha picha moja hapo chini kwenye Box la comment ukiwa na kichinjio chako cha kuingilia kwenye Wasafi Festival Viwanja vya Posta Kijitonyama

Hatuchukui maelezo mengi Ticket comment Only......???



03/11/2019

Kwa Mara Ya Kwanza Azungumzia Kuondoka Kwa Harmonize..Kuwa Yeye Hana Kinyongo Amejitahidi Kadri Ya Uwezo Wake Mpka Kufikia Hapo So Watu Waendelee Kumpa-Support

30/10/2019

Harmonize ni mwanafamilia wa WCB Wasafi Na bila shaka November 9 atakuwepo kwenye Wasafi Festival Dar es Salaam pia Ningependa Ali Kiba awepo na Tayari nimewapa taarifa viongozi waongee na uongozi wake

30/10/2019
30/10/2019

NAPENDA KUTANGAZA RASMI WASAFI FESTIVAL DAR ES SALAAM NA ITAKUWA NI NOVEMBER 9 "DIAMOND PLATNUMZ"

30/10/2019

Inshallah kesho saa tano Asubuhi Diamond Platnumz ataongea na waandishi wa Habari pale Hyatt Regency na itakuwa live kupitia Wasafi TV na Wasafi FM

Usikose kesho kuna Jambo

29/10/2019

Yani K**a Vile Genereta 😂

➡Dont Forget Likes,Share,And Invite More Friends For WWasafi FmFWasafi Fm

NOUVELLE PAGE WASAFI TV ET FM
28/10/2019

NOUVELLE PAGE WASAFI TV ET FM

Amedokeza Kuhusu ujio wa Project yake Mpya ambayo bado hajaiweka wazi kuwa itadondoka lini na ameamua kuipa jina

Project hiyo hajaifafanua k**a itakuwa ni Album au Itakuwa Extended Play - EP Lakini ndani yake Kutakuwa na Ngoma 5 na pia amewaomba mashabiki zake wampe Siku ambayo ataidondosha rasmi
hivi karibu ni amekuwa akiachia ngoma tofauti na nyingi ameshirikiana na mastaa wakubwa Africa na Hii Project mpya nayo kuna ngoma mbili ambazo amewashirikisha Pamoja na

28/10/2019

NITAKUNYWA SUMU K**A MBOSSO AKINIKATAA/ NAMPENDA HATA ANIFANYE MKE WA PILI

NOTRE NOUVELLES PAGE
28/10/2019

NOTRE NOUVELLES PAGE

Watoaji wa Tuzo za Afrimma 2019 walisahau utoaji wa Tuzo ya kipengele cha Best Live Act

Na Tuzo hiyo Diamond Platnumz amefanikiwa kuinyakua na kuwa Mtanzania wa Pili kubeba Tuzo hiyo kwa mwaka 2019/akiungana na Ommy Dimpoz aliechukua kipengele cha Best Male East Africa

Comment Hongera kumpongeza SIMBA


Adresse

Du 30 Juin
Lubumbashi

Téléphone

+243979386621

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Wasafi officiel publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager