
26/01/2024
Assalam alaykum warahmatu llah vip hali zenu wana ukumbi
Allah anasema itakapo nadiwa swala ya idjuma fanyeni uharaka kwende ku fanya dhikr na acheni fungeni biashara, kwa hio tuna kutakieni idjuma nzuri nyote mlipo sehemu zote za dunia