09/05/2025
Mwanzilishi wa kipindi nipe MWANGAZA Nani?
NDIGOZA NAKATENDE JEFFERSON ndiye mwalimu Mwanzilishi wa kundi.
NI baba wa watoto, mwandishi, mtafiti wa mambo, missionnari kwa kanisa la CECA 20 SUD KIVU. Alipataka wito kwakukiandaa kipindi kwenye radio kwa kuelimisha na kujibu baazi ya swali, ushauri,...