Kavunigomba Une page professionnelle, qui fait la promotion des artistes uvirois

  ni Zaruwa moja Kali Sana Ina tokeye mara moja kwa mwaka tena uyu mwezi wa Saba   Spider Google Kavunigomba
06/07/2025

ni Zaruwa moja Kali Sana
Ina tokeye mara moja kwa mwaka tena uyu mwezi wa Saba
Spider Google Kavunigomba

Msanii wa k**e kutoka mjini Uvira, DR Congo, Esther Mamy  ametangaza rasmi kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Naku...
05/07/2025

Msanii wa k**e kutoka mjini Uvira, DR Congo, Esther Mamy ametangaza rasmi kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Nakupenda” tarehe 7 mwezi huu.

Kwa mujibu wa msanii huyo, kazi hiyo ni ya kipekee na haifai kukosa kwa namna yoyote, kwani imeandaliwa kwa ubunifu mkubwa na dhamira ya kweli.

💬 “Sio ya kukosa, hii kazi sio ya kitotoo! Wenyewe mwajua kazi yangu inajiheleza,” amesema kwa kujiamini.

Mashabiki wajiandae kwa burudani ya hali ya juu kutoka kwa kipaji kinachokuja kwa kasi kutoka Uvira.

MSANII  AME TANGAZA KU ACHIYA NGOMA MPYA IYO SIKU YA KWANZA AMBAYO IME BEBA JINA   AME MUSHIRIKISHA   SWEDY
28/06/2025

MSANII AME TANGAZA KU ACHIYA NGOMA MPYA IYO SIKU YA KWANZA AMBAYO IME BEBA JINA
AME MUSHIRIKISHA SWEDY

PROGRAMME DES OBSÈQUES DU GÉNÉRAL BIRIHO RUKUMETA PierreDate: 25 juin 20259h-10h: levée du corps à la morgue suivie de s...
25/06/2025

PROGRAMME DES OBSÈQUES DU GÉNÉRAL BIRIHO RUKUMETA Pierre
Date: 25 juin 2025

9h-10h: levée du corps à la morgue suivie de son exposition à la résidence familiale
10h-11h: honneur militaire et culte funéraire au terrain HAZUHURI
11h-12h: mots de circonstances et dépôt de g***e de fleurs
* mot de famille 15’
* ⁠mot de wazalendo 10’
* ⁠mot de Fardc 10’
* ⁠mot de Mwami de bavira 10’
* ⁠mot du Gouverneur de province
12h: honneur militaire et départ pour l’inhumation à Kibondwe
* ⁠13h: retour au terrain HAZUHURI
Le protocole d’Etat

Star wa muziki Africa 🦁  Ametangaza Kolabo Nyingine Na O.B.O  🇳🇬 Ambayo Itatoka Hivi Karibuni. Diamond Amethibitisha Hil...
25/06/2025

Star wa muziki Africa 🦁 Ametangaza Kolabo Nyingine Na O.B.O 🇳🇬 Ambayo Itatoka Hivi Karibuni.

Diamond Amethibitisha Hilo Wakati Akizungumza Na Mashabiki Zake Jana Kwenye Session Na Dj Wa UK Mitaa Ya King Cross Jijini London.

“Nimetoka Kuzungumza Na Davido Jana Tu, Lakini Pia Leo… Unajua Mimi Na Davido Tuna Ngoma Nyingine Ambayo Itatoka Hivi Karibuni, Hivyo Nafuraha Sana … Wakati Nikiendelea Kuifanyia Kazi Album Yangu Mpya Itakayotoka Hivi Karibuni” - Diamond .

Diamond Na Davido Ni Wakali Wa Hitsong ‘My Number One’ Remix Iliyotoka Zaidi Ya Miaka 10 Iliyopita.

Je, Unatamani Itoke Lini ?

✍️: ( )


IYI NI MUONEKANO WASASA YA STUDIO  KWA
23/06/2025

IYI NI MUONEKANO WASASA YA STUDIO
KWA

Wimbo wa "Sukari" kutoka kwa malkia wa Bongofleva zuchu umeendelea kutikisa tasnia ya burudani Afrika Mashariki, kwa kuf...
22/06/2025

Wimbo wa "Sukari" kutoka kwa malkia wa Bongofleva zuchu umeendelea kutikisa tasnia ya burudani Afrika Mashariki, kwa kufikisha watazamaji milioni 111 kwenye YouTube. Huu ni wimbo pekee wa msanii wa k**e kutoka Afrika Mashariki kufikia mafanikio hayo makubwa.
Zuchu Ashley Banza Media

Baada Ya kumaliza ziara yake nchini Uingereza, SIMBA 🦁 , anarudi tena jijini London kesho, tarehe 23 Juni 2025, katika s...
22/06/2025

Baada Ya kumaliza ziara yake nchini Uingereza, SIMBA 🦁 , anarudi tena jijini London kesho, tarehe 23 Juni 2025, katika show kubwa ya itakayofanyika maeneo ya King’s Cross 🇬🇧.

Diamond Anaungana Na Mastaa Wengine Wakubwa Duniani Waliowahi Kutumbuiza Kwenye Onesho Hili La Kimataifa La DjAgOnline K**a: Doja Cat 🇺🇸, Ed Sheeran 🇬🇧, Will Smith 🇺🇸, Ciara 🇺🇸, Rita Ora 🇺🇸, Burna Boy 🇳🇬, Wizkid 🇳🇬, Major Lazor, Mr Flavour 🇳🇬 Na Wengine Kibao.

Hii Inaonesha Uhitaji Umekuwa Mkubwa Zaidi (High Demand) Kwa Diamond Kuendelea Kufanya Show Nchini Uingereza Baada Ya Kuacha Historia Ukumbi Wa Royal Albert Hall Na Tamasha La Nchini Marekani Hivi Karibuni.

Hivyo Hii Ni Hatua Nyingine Kubwa Kwa Diamond, Kwani Kushiriki Katika Onesho Hili Kunamuweka rasmi kwenye ligi ya mastaa wa dunia, na kuthibitisha kuwa muziki wa Afrika Mashariki una nafasi kubwa kwenye jukwaa la dunia.

Msani Achillian Mukali wa   ame weka wako ujiyo wa Album yake ya kwanza Ambayo ime beba JINA la   667" Kwaiyo weka bando...
22/06/2025

Msani Achillian Mukali wa ame weka wako ujiyo wa Album yake ya kwanza
Ambayo ime beba JINA la 667"
Kwaiyo weka bando zako tayari.
Achillian Spider Google MAPYA UVIRA Shahidi Télévision Sugar lips SEJE MEDIA

Concert Talent du rire ,Rendez vous le 27/07/2025 ,salle  Palestina danazos,mulongwe Avenue uvira
22/06/2025

Concert Talent du rire ,Rendez vous le 27/07/2025 ,salle Palestina danazos,mulongwe Avenue uvira

KATIKA ALI YA KU CHANGAMUSHA GAME YA NYUMBANI MSANII   AME KUJIYA KWA MARA NYINGINE NA CONCERT AMBAYO IME BEBA JINA  " I...
22/06/2025

KATIKA ALI YA KU CHANGAMUSHA GAME YA NYUMBANI
MSANII AME KUJIYA KWA MARA NYINGINE NA CONCERT AMBAYO IME BEBA JINA "
ITAKUWA IYO SIKU YA MUNGU TAREHE 29/06/2025 MIDA YA 14H PA KAVIMVIRA KWENYE UKUMBI WA BAG DADY

Adresse

Uvira

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Kavunigomba publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Kavunigomba:

Partager