20/03/2026
Ikiwa leo ni ijumaa tariki 1 mwezi wa mwaka wa 1447 Eid Al fitr Sawa na tariki 20/03/2026, Kizungu.
Leo ijumaa ( vendredi) wa isilam wame sherekea Skukuu ya -fitr
Shereh ambayo ime ongozewa kwa utulivu na Salah iki salishiwa na imam , sheikh .
Huku akiwataka wa Islam kusherekeya kwa utulivu , na Amani n'a upendo .
sumaiya aliongeza kuwa waislam wana takiwa kuwa na upendo na inchi yao ya RDC Congo .
Wadumishe , mshikamano , upendo , na Amani juu ya inchi , wasiwe wenye kusema sema hovyo , na Ku critiqué viongozi wa inchi , wa zidishe upendo kwa viongozi , na kuombea inchi yetu ya Congo Amani ya kudum.
MAPYA UVIRA TV ina watakiya wa islam wote uvira , Sud Kivu , Congo na dunia yote Ei Al fitr.
# Sadiki Issa
đžđ· : Excellent Kashindi