Uvira Viprodi Vision pour la Promotion du Développement Intégrale

Mwalimu Abdoul Richmond Vicky aseme Goma iko Nguvu 🤣.K**a ni boga ya bayomba 🙄 wakati Est na Congo 🇨🇩 yote ni hali moya
02/09/2025

Mwalimu Abdoul Richmond Vicky aseme Goma iko Nguvu 🤣.
K**a ni boga ya bayomba 🙄 wakati Est na Congo 🇨🇩 yote ni hali moya

Général Olivier Gasita anaye kataliwa na raia ili asitumike mjini Uvira ila kwa habari za karibu zinasema yuko piya taya...
02/09/2025

Général Olivier Gasita anaye kataliwa na raia ili asitumike mjini Uvira ila kwa habari za karibu zinasema yuko piya tayari kutumika Uvira kwa hali yoyote itakayo jitokeza.

Una neno gani wewe k**a muzalendo wa muji na inchi ya Congo 🇨🇩 ?

02/09/2025

Wimbo wa marehemu 😭John P.I uliyo acha historia kubwa katika jamii

Kasipi Musambo mzaliwa wa Sange alijulikana sana k**a John P.I alijenga jina ndani na nje ya Uvira kupitiya nyimbo kazaa za révolution na zilizo gusa wengi piya kazi zake zilipendwa sana kutokana na ujumbe wa nyimbo mfano , , (Mkongomani Penda inchi yako),... Piya aliyo shirikishwa mjini Goma na msanii Bistuseta iliyokuja ku hit zaidi baada ya kifo chake.

John P.I yeye alionesha upendo mukubwa kwa inchi yake Congo 🇨🇩 ndo maana kwenye nyimbo zake alipenda sana kuutumiya msemo

" NITAFIYA INCHI YANGU"

2015 alifanyikiwa kuchukuwa tuzo ya msani bora mjini Uvira kwenye Show Ndule Award ya RMP radio kupitiya wimbo (Mkongomani_Penda inchi yako) iliyofanya jina lake kufika mbali zaidi, alishiriki piya kwenye muungano wa wasanii wakati huo yani UVA ALL STARS na kufanya ngoma kwa pamoja iliyo tambulika .

Tariki 11/08/2016 saa moja usiku (19h') Salamabila John P.I alifariki dunia😭, kifo kilicho acha wapenzi wa muziki midomo wazi, alizikwa Uvira tariki 14/08/2016. Nakuacha kilio kwenye taasisi mbali mbali ikiwa viongozi, wasanii, mashabiki zaidi kwa mke wake aliyekuwa na mtoto mchanga sana.

R.I.P Légende, msanii hufariki ila kazi zake zinaishi siku zote. Tuta kukumbuka daima.

Uvira Viprodi
Asiston Panga

Constant Mutamba💔 condamné à 3 ans de travaux forcés5 ans d’inéligibilité et de non accès aux fonctions publique après c...
02/09/2025

Constant Mutamba💔 condamné à 3 ans de travaux forcés

5 ans d’inéligibilité et de non accès aux fonctions publique après consommation de sa peine.

Privation du droit à la libération conditionnelle et à la réhabilitation

Restitution des 19 millions de dollars

02/09/2025

Général Jems Fieka Adui anaeleza sababu ya wazalendo kufunga barabara namba5 mjini Uvira leo 02/09/2025

Uvira ni kimya hakuna kazi leo 02/09/2025La patrie où la mort nous vaincrons 🤝💪🇨🇩✅
02/09/2025

Uvira ni kimya hakuna kazi leo 02/09/2025

La patrie où la mort nous vaincrons 🤝💪🇨🇩✅

Verdict Constant Mutamba: sécurité très renforcée à kinshasa, plus de 500 jeeps et véhicules blindés déployés, pas d’acc...
02/09/2025

Verdict Constant Mutamba: sécurité très renforcée à kinshasa, plus de 500 jeeps et véhicules blindés déployés, pas d’accès à la Gombe sans carte de service.

Huyu ndo ameumiya na ma b***e perdue côté ya Soficom na kupelekwa mara moja ku hôpital général de référence mjini Uvira....
02/09/2025

Huyu ndo ameumiya na ma b***e perdue côté ya Soficom na kupelekwa mara moja ku hôpital général de référence mjini Uvira.

Ukiwa ni mugomo wa kupinga général Olivier Gasita asitumike Uvira akiwa anashutumiwa kuingiza M23 Goma na Bukavu hivyo wazalendo wanapinga maamuzi hayo yakumuleta Uvira aje kutumika k**a kiongozi wa usalama mji Uvira

Uvira Viprodi

02/09/2025

UVIRA 🔥😭

Mara mwisho kuangaliya filamu za Uvira ilikuwa ni wakati gani ?Gabo zigamba na Abema Charles kwenye picha ya pamoja Uvir...
02/09/2025

Mara mwisho kuangaliya filamu za Uvira ilikuwa ni wakati gani ?

Gabo zigamba na Abema Charles kwenye picha ya pamoja

Uvira Viprodi

02/09/2025

Manifestation Uvira kumupinga Général Olivier Gasita asitumike Uvira. Anashutumiwa kusababisha M23 kuingiya Goma na Bukavu...

Adresse

Uvira

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Uvira Viprodi publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Uvira Viprodi:

Partager