UVA connexion Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de UVA connexion, Société de médias/d’actualités, mulongwe, Uvira.

👉page hii ni kwa Ajili
👉yakupata habari zote
👉Muhimu na zenye
👉Uhakika burudani
👉Michezo umbea
👉Vichekesho
👉Siasa

👇KWA MATANGAZO PROMO NJOO TUONGE👇

call sms
Whatsappe
Number
+243973660016

21/10/2025

MASHABIKI LE 16/ 11/2025
TUNA JAMBO LETU 💪
DAKUJA KUWA AMBIYA TUTAKUWA SEHEMU GANI🔥

MARIOO: Kolabo Yangu na Diamond Itakuwa Kali Zaidi Kushinda Zote.. ✍️✍️
21/10/2025

MARIOO: Kolabo Yangu na Diamond Itakuwa Kali Zaidi Kushinda Zote..

✍️✍️

20/10/2025

nimezaliwa sadaka ili niokoe muziki wa Uvira

20/10/2025

Naelewa sasa kifo ya Matty amissi Kwenye MUZIKI wetu wa Uvira donc kuna watu wenye wamesha kuwa wamarehemu..

Tukutane Le22/10/ na 18°° Tuna jambo letu 👇👇

Nimezaliwa sadaka ili niokoe muziki wa Uvira

Mr Gave
Belami Muka
Lady Sapna
TinaMagambo
Achillian
Madereva music officiel
RAMA KELLY RK
Kivu flever
✍️✍️✍️

20/10/2025

Nimezaliwa sadaka ili niokoe muziki wa Uvira
🙏🙏

19/10/2025

GOMA 🔥
LES WAZALENDO PRÊT DE LA VILLE

👇👇👇👇 Courage sana Général Ngoma Nzito
19/10/2025

👇👇👇👇 Courage sana Général Ngoma Nzito

General NGOMA NZITO kisha kupambana usiku na mchana bila ku laLa,
Shujaa huyo Ame fanyikiwa kuchapa adui naku shika Mateka Wengi

Kamanda NGOMA NZITO ali weka wazi kua ata shusha mateka Hao uvira kutoka RUGEZI tarafani FIZI, ukumbe hii ita kua ni Safari ya pili anakuja na mateka za adui M23

Ni kwamba kundi la BILOZE BISHAMBUKE lina endelea ku kaba maheneyo mengi Tatafani Fizi

NENO MOJA KWAKE

Roma asipofika trending namba 1 basi mashabiki watakuwa wanafiki sana maana ndio wanapiga kelele wasanii waimbe nyimbo z...
19/10/2025

Roma asipofika trending namba 1 basi mashabiki watakuwa wanafiki sana maana ndio wanapiga kelele wasanii waimbe nyimbo za kuisemea jamii...

✍️

  kwa hii Habari Yenye   wa MUZIKI YA UVIRA ANATUMWANGIA👇👇👇👇👇 BRIANA NILI MSHAURI AHACHANE NA MR GAVE NI MALAYA ILA AKU ...
19/10/2025

kwa hii Habari Yenye wa MUZIKI YA UVIRA ANATUMWANGIA👇👇👇👇👇


BRIANA NILI MSHAURI AHACHANE NA MR GAVE NI MALAYA ILA AKU NI SIKIA 👇👇👇👇

Nilipo Mshahuri Dada yangu Briana ahachene na huyo Kijana ali niona mjinga aku amini maneko yangu kua Kijana huyo ni Malaya ata kuja Kumu potezea Mda Bure
Leo kijana kapita na Mwanamke mwengine naku mzalia mtoto NINI YESU WANGU KWA ILI FUNZO 🙏🙏🤣🤣

By Mke Wa Pharaon
Toa maoni yako

Mr Gave
Belami Muka
Lady Sapna
TinaMagambo
RAMA KELLY RK
Madereva music officiel
Matty amissi
Achillian
Kivu flever
Kivu top music

✍️✍️✍️

Mwanamuziki Roma ameachia cover ya wimbo wake mpya   Bunduki.. ✍️
19/10/2025

Mwanamuziki Roma ameachia cover ya wimbo wake mpya Bunduki..

✍️

Kuna wakati mashabiki walisema kwamba sababu kubwa inayo fanya muziki wa Tanzania hausongi mbele ni kuchukiana na kukosa...
19/10/2025

Kuna wakati mashabiki walisema kwamba sababu kubwa inayo fanya muziki wa Tanzania hausongi mbele ni kuchukiana na kukosa umoja wakafikia kusema kwamba k**a wasanii wasipo kuwa na umoja muziki wetu hautafanikiwa kamwe.

Sasa hivi wasanii wanaacha mabifu wanaungana kufanya kazi baadhi ya mashabiki wanatukana kwamba wasanii wanaleta shobo, kwa mfano kuna mchambuzi mmoja yeye kasema kwamba Marioo aache shobo ameshakuwa mwanamuziki mkubwa sasa unajiuliza kwani ukiwa msanii mkubwa ndio hishirikiani na wengine unakuja kugundua huyu mchambuzi hana akili na anaendeshwa na chuki zake binafsi. Mbona hakusema Marioo aache shobo alipo fanya kazi na Alikiba, Rayvanny na Harmonize aje aseme aache shobo sasa hivi kisa yupo kwenye video ya Diamond.

Zamani watu walikuwa wanasema Diamond anasapoti wasanii wa lebo yake tu ndio maana wengine hawakuwi wakamtaka k**a msanii mkubwa awasapoti na wengine ili kuipa nguvu bongo fleva kwenye soko la kimataifa. Ukiangalia sasa hivi Diamond yupo karibu na wasanii wote wakubwa na wadogo wa bongo fleva kasoro Alikiba na Harmonize na hawa wana sababu zao za kutokuwa karibu, badala ya kuona mwanga kwamba wasanii wanaelewana na kusapotiana nyie mnaleta chuki mnataka waendelee kuwa na mabifu hebu nyie mashabiki maandazi acheni ujinga huu muziki unahitaji umoja.

Pongezi kwa mashabiki wote ambao wanasapoti wanamuziki kuwa na umoja maana kila mwenye nia njema lazima arafurahia wasanii kusapotiana ila wale mashabiki wajinga wanao taka wasanii wakosane waendelee kujenga chuki mwisho wa siku muziki unazidi kusonga mbele...

✍️✍️

Marioo aipigia promo Sasampa ya Diamond Platnumz ✍️
18/10/2025

Marioo aipigia promo Sasampa ya Diamond Platnumz

✍️

Adresse

Mulongwe
Uvira
B12

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque UVA connexion publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager