16/05/2025
TANZIA 😥
Umoja ya waigizaji wa filam mjini uvira inayo masikitiko makubwa ya kuwa tangazia kifo cha Muigizaji BIN SARAH kilicho tokeya leo 15/05/2025 na saa 9h pa uvira .
MSIBA INA PATIKANA UVIRA , KALIMABENGE PA KABINDULA YULU YA MOSKE KALIMABENGE.
BIN SARAH Ali jizoleya Jina kubwa mjini uvira kupitiya filam aliyo icheza mu 2015 , 2016 , 2018 ndani ya Groupe après aka baki kuwa mushauri wawaigizaji.
Filam Yake iliyo pendewa sana
✍️ LIMBWATA akiwa na
✍️ MAJANGA YA KICHAWI akiwa na Djansani, na sadiki Issa nawengine waigizaji wa kubwa
akiwa na sadiki Issa na Djansani Byamungu.
TUTA WATANGAZIYA PROGRAMME YA MAZISHI 🙏