
25/07/2025
Iyi sio yakukosa 10/08 SALLE A.E.J.T kavimvira kule handaliwa concert na mwanamziki kutoka hapa kwetu kiliba anafahamika k**a boy nikwajili yakutangaza mziki wanyumbani twende sote tumusapoti kijana wetu bei nik**a bure 1500fc VIP 5000fc tusapoti kijana ilitunze mziki wa nyumbuni Big UP sana kwawaliyo handaa tamasha iyo respect sana
-concert