Mabadiriko uvira

Mabadiriko uvira SISI NI MEDIA 👉0849 608 804 WhatsApp MABADIRIKO UVIRA TV

  et INNOSS'B  Afande Ready  et   IPI KALI API 🫣
13/06/2026

et INNOSS'B
Afande Ready et IPI KALI API 🫣

Ivi kuna ukweli apa msani    kwenye wimbo wake amehiga kuhimba ya Bargoss  ngoma ipo tayari mjini youtube inaitwa   like...
13/06/2026

Ivi kuna ukweli apa msani kwenye wimbo wake amehiga kuhimba ya Bargoss ngoma ipo tayari mjini youtube inaitwa like iyo apo kwenye comment

🪩JE KUNA UKWELI APO PITA PITA ZETU TUMEKUTANA NA WATU WANAHONGEYA KUWA UYU JAMA ALIHIGA KUHIMBA YA MSANI WA GOMA FATILIYA NGOMA KISHA HU COMMENT
Mabadiriko uvira 🏃

🪩Tayari muda umefika sasa ni 10H wimbo inatoka msani wetu    anakwenda ku Andika historia mupya kwenye music? watu wengi...
13/06/2026

🪩Tayari muda umefika sasa ni 10H wimbo inatoka msani wetu anakwenda ku Andika historia mupya kwenye music? watu wengi walikuwa wanasubiri wimbo wake itoka ya muda simurefu 10H ngoma inatoka

Mabadiriko uvira 🏃

13/06/2026

COMBIE SUR 10 BY Danger Music BIENTOT CHALLEGE 💯

Mabadiriko uvira 😱

Mashabiki ndo walifanya ivi Ama kunaka ukweli Apo Gloria Bash  et INNOSS'B  🫣
13/06/2026

Mashabiki ndo walifanya ivi Ama kunaka ukweli Apo Gloria Bash et INNOSS'B 🫣

Afande Ready  et INNOSS'B  🏃
13/06/2026

Afande Ready et INNOSS'B 🏃

kesho mapema sana wasani wa kundi ya music ya Danger Music  Wametangaza ku Achiya challege ya wimbo wawo mupya ambayo in...
12/06/2026

kesho mapema sana wasani wa kundi ya music ya Danger Music Wametangaza ku Achiya challege ya wimbo wawo mupya ambayo inahitwa kuwa tiya sasa 🏃

Mabadiriko uvira 💯

NENO MOJA KWA MSANI Afande Ready  NI NOMA 💯
12/06/2026

NENO MOJA KWA MSANI Afande Ready NI NOMA 💯

Upewe 20$ Ama ukule sahani moja na msani Dennis classic  utachaguwa kitu gani 💯Mabadiriko uvira  🪩
12/06/2026

Upewe 20$ Ama ukule sahani moja na msani Dennis classic utachaguwa kitu gani 💯

Mabadiriko uvira 🪩

Msani   amehomba samahani kwa mashabiki zake kwaku ahidi ku Achiya wimbo wake mupya mwahizi siku zanyuma zilito pita KAZ...
12/06/2026

Msani amehomba samahani kwa mashabiki zake kwaku ahidi ku Achiya wimbo wake mupya mwahizi siku zanyuma zilito pita

KAZI IYAKE ILIYO SUBIRIWA NA WATU WENGI SANA INAITWA TIK TOK ITAKUWA DISPONIBLE KESHO LE 13 MUDA WOWOTE UWO KUWA TIYARI

Mabadiriko uvira 🏃

Adresse

Uvira

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Mabadiriko uvira publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager

Type