05/07/2025
Sapologuano Odenumz Yakutumba AMEFICHUWA SIRI ILIYO FANYA ASI FANYE COLLABORATION NA
SOMA ALICHO ANDIKA UTAJUWA
🗣️ PART 2
unajuwa kwanini collaboration yang Na aikufanyika Na Wala sijawai ku ongea popote pale, ila leo nimeamuwa ku Ongea
Baada ya Mimi kutoka kumupokea airport boss aliniambia nenda nyumbani ka andae Ngoma Kali, Na ikiwa una Ngoma zipo stocks ambazo Zina endana Na Ngoma ambazo rayvanny anafanya basi ka andae ili rayvanny kabla hajaenda TANZANIA 🇹🇿 muwe tayari mumesha maliza kufanya Audio Hapa , kwahiyo jiandae kwa Hilo
Moja KWA moja nili jiandaa kbs, yaani kwenye gari nilikuja Na furaha kubwa sanaaa mahana Ndoto yang Yaku tobowa nilikuwa nimeona imetimia, mahana Kutokana Na promotion ya Na nguvu ya kwenye Mziki wa East Africa nikajuwa basi tunaenda ku ondoka duniani...
Baada ya siku moja kupita ikawa imefika Sasa PRESSE CONFERENCE ya rayvanny, uwezi kuamini Vitu vyote vikawa vimeharibikia hapo, siku iyo sikuwezaga participe kwenye conférence hiyo, nikaja kukutana Na habari mitandaoni kuwa Brother anataka kupewa REMIX ya wimbo wake Na rayvanny...🥹🥹🥹
Duh mupaka tukawa tumefika siku ya show Nika perfom vizuri sana uta fikiria labda Mimi ni msani tu wa BURUNDI ninaye zoeleka mahana kwa mapokezi makubwa niliyo yapataga, uta fikiria Mimi sio mgeni 😀😀
Show ikawa imepita, habari ambazo zili endelea ku zagaa ni collaboration ya Brother Na kufanya remix, mupaka rayvanny akawa ameondoka BURUNDI Bila Mimi kufanya kazi Na rayvanny
Nikajuwa tu Kuna michezo ina endelea, akili yang ikawa imefikiria tu kuwa yawezekana Kuna watu wamemujaza boss ili kazi iyo Mimi Na rayvanny isifanyike, wapewe wao
Mungu sio asumani uyo nayeye pia akawa amekosa collaboration iyo, unajuwa Mungu apendagi watu wa janja janja Sanaa, Brother pia akawa amekosa collaboration iyo Na , baadaye akaanza ku lalamika mitandaoni kuwa ameliwa hela na