sanaa bila mpaka

sanaa bila mpaka Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de sanaa bila mpaka, Société de médias/d’actualités, République démocratique du Congo/Sud Kivu/uvira, Uvira.
(1)

✅ Hapa tunapromote bila upendeleo
✅ Hapa vipaji vya mtaani vinapewa nafasi
✅ Hapa kazi zako zinafika mbali!
👑 Promota wako ni nani?
🎤 NGARAMBi FEI OG – yuko kwa ajili ya kukuinua na kukusukuma mbele!
📲 Follow ukurasa wetu sasa hivi
🎬 Tuma kazi zako dm

Jiandaeni kupokea kitu kipya kutoka kwa miamba miwili kutoka Uvira, Prof Mirror Pamoja na Mr Gave, Lundi muwe tayari kwa...
13/09/2025

Jiandaeni kupokea kitu kipya kutoka kwa miamba miwili kutoka Uvira, Prof Mirror Pamoja na Mr Gave, Lundi muwe tayari kwa ajili ya challenge 🔥

10/09/2025

UVIRA UTULIVU NA SHUGHULI MBALIMBALI ZIMERUDI BAADA YA KUSITISHWA KWA MUDA 🙏🏿

05/09/2025

UVIRA ENEO ZOTE KUNASIKIKA MILIO ZA RISASI LEO IJUMAA MIDAA YA SAA TATU NA NUSI MPAKA SASA 😭

05/09/2025

crépitement de B***e à Uvira il est 22h10
Les wazalendo demande départ immédiat du général GASITA à Uvira 🤔😢😭

Mpaka sasa hali ya Uvira 😓😓
04/09/2025

Mpaka sasa hali ya Uvira 😓😓

Mpaka sasa wimbo SHIDA wa msaniiJdd Mkali Wa Concordance uko disponible.Ebu twende kwenye YouTube yake kuushambulia.
04/09/2025

Mpaka sasa wimbo SHIDA wa msaniiJdd Mkali Wa Concordance uko disponible.

Ebu twende kwenye YouTube yake kuushambulia.

Vladmir shakis boy 🗣️ MARIANNA sio kwamba ndo jina original ya shem wenu  ila ni  jina mimi nime mupatia 🙌🏻 kwa iyo Eko ...
04/09/2025

Vladmir shakis boy 🗣️ MARIANNA sio kwamba ndo jina original ya shem wenu ila ni jina mimi nime mupatia 🙌🏻 kwa iyo Eko najina yake yenye batu ya mingi bana ijuwa ila kwangu mimi ni MARIANNA ❤️

Soon video itakuwa disponible kaeni tayari 🔜

sanaa bila mpaka

Tegemea kupata kazi mpya kutoka kwa denis clasic.Ujumbe wake huu hapa chini 👇Heloh guys, wazima , nimekuya mbele zenu ku...
04/09/2025

Tegemea kupata kazi mpya kutoka kwa denis clasic.

Ujumbe wake huu hapa chini 👇
Heloh guys, wazima , nimekuya mbele zenu kuwafaamisha kuwa Siku ya sita samedi tutaachia Wimbo Mpya inaitwa NALIYA JU YA CONGO, k**a Wewe nimkongomani na unaumia na ali tunayo basi kuwa wakwanza kuisikiza wimbo uo samedi na 14h akuna mimi bila wewe.

sanaa bila mpaka

😳😳Najiuliza kwani kipi kibaya alichojibu Mbosso mpaka Diamond aongee yote haya ⁉️Mbona Mbosso aliongea kwa busara sana n...
22/08/2025

😳😳Najiuliza kwani kipi kibaya alichojibu Mbosso mpaka Diamond aongee yote haya ⁉️Mbona Mbosso aliongea kwa busara sana na hakua na lengo lakutengeneza mgogoro.Hii inatufanya tuanze kuamini kwamba kuna ukweli Babalevo huwa anatumwa

🚀 LA MONÉTISATION FACEBOOK DÉBARQUE DANS TOUS LES PAYS AFRICAINS !La monétisation sur Facebook devient enfin accessible ...
21/08/2025

🚀 LA MONÉTISATION FACEBOOK DÉBARQUE DANS TOUS LES PAYS AFRICAINS !

La monétisation sur Facebook devient enfin accessible à tous les pays africains !

À partir de septembre, plusieurs mises à jour majeures seront déployées sur les plateformes de Meta : Facebook, WhatsApp et Instagram.

Certains changements sont déjà visibles :

Sur WhatsApp :
- Vous pouvez désormais utiliser votre nom d’utilisateur à la place du numéro de téléphone.
- Il sera possible de vérifier que les comptes Instagram liés à votre WhatsApp vous appartiennent réellement.

Sur Facebook :
- Grande nouvelle pour les créateurs africains ! La monétisation Facebook évolue et sera disponible pour tous dans une dizaine de jours.
- Le tableau de bord du profil professionnel a été amélioré pour plus de clarté et d’options.

Sur Instagram :
- Le format du fil d’actualité change progressivement : fini le carré, place au vertical (ratio 4:5 – 1080 x 1350 pixels).
- Un bouton « Je n’aime pas » fera bientôt son apparition.

Ces changements vont impacter notre visibilité et notre audience, il est donc crucial de rester informé pour adapter vos stratégies.

Et ce n’est pas tout : TikTok lance également de nouvelles mises à jour, preuve que toutes les plateformes évoluent rapidement !

Msanii Vladimir shakis ametoa shukurani kwa management yake na shabiki wake kwa mapokezi mazuri baada ya kuchukua tuzo y...
20/08/2025

Msanii Vladimir shakis ametoa shukurani kwa management yake na shabiki wake kwa mapokezi mazuri baada ya kuchukua tuzo ya chipukizi bora EAST AFRIKA.
ujumbe wake hapa chini 👇

Sijuwi nita anzia wapi kusema Asante kwa heshima nilio pewa Jana baada ya kufika tu kalemie usiku nili itwa maali bila kujuwa kwa nini nime itwa nika ambiwa niende na tuzo (trophé) kwa manager wg ,
Ilikuwa ni bonge la surprise kwangu kukuta watu wa kubwa wenye eshima zao kuji unga naku nikaribisha Kwa Furah kijana wao baada ya kushinda tuzo iyi
Usema kweli nashukuru saana mungu awa bariki kwa kuni eshimisha kiasi kile 🙌🏻🙏

Team yangu, media, Vladfans , ma fans wg wangu woote nashukuru kwa kweli 🙌🏻🙏

19/08/2025

Mwanamuziki Tokea Nchini Tanzania Rayvanny ameweka rekodi mpya baada ya kufikisha wasikilizaji milioni 30.1 kwa mwezi kwenye YouTube Music.

Rekodi hii inachochewa zaidi na wimbo wake “Oh Mama Tetema”, uliowekwa kwenye chaneli kubwa ya muziki duniani, T-Series, yenye zaidi ya subscribers milioni 300. Uwepo wa wimbo huo kwenye jukwaa hilo umechangia kwa kiasi kikubwa kuongeza idadi ya wasikilizaji wake kimataifa.

Kwa mafanikio haya, Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania na Afrika Mashariki kufikisha monthly audience kubwa ya kiwango hiki kwenye YouTube Music — hatua inayoonesha wazi ukubwa wa ushawishi wake kwenye muziki wa kidigitali.

Rayvanny anaendelea kuthibitisha nafasi yake k**a nembo ya muziki wa Afrika Mashariki, akifungua milango ya kimataifa kwa wasanii wengine wa kizazi kipya.

✍️ usikose kufuatilia sanaa bila mpaka kwaajili ya promosheni mbalimbali

Adresse

République Démocratique Du Congo/Sud Kivu/uvira
Uvira
20

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque sanaa bila mpaka publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager