19/09/2024
Tangazo
Studio ya ASMUSIC inapenda kuwajulisha kuwa itakwenda kufunga milango ya kazi kuanzia tariki 20/09/2024 mpaka pale itakapo tolewa taarifa
Lengo lakufunga milango ya ofisi ni kwa ajili ya ujenzi na kuongeza uboreshaji katika kazi hivyo basi tutegemee ukubwa zaidi 🫡
NB: bei piya itabadilika,, Asante