11/07/2025
Malalamiko yamewasilishwa rasmi huko Brussels, dhidi ya wanafamilia tisa wa rais wa DRC Fรฉlix , ambao wana uraia wa Ubelgiji, wakituhumiwa kwa wizi wa madini ya nchi hiyo, limeripoti gazti la La Libre Belgique.
Kesi hiyo imewasilishwa na mawakili Bernard na Brieuc Maingain,kwa niaba ya mashirika yasiyo ya kiserikali kutoka eneo la Katanga nchini DRC, na wakurugenzi wa zamani wanne wa kampuni ya madini ya Gecamines.
Walengwa kwenye kesi hiyo ni pamoja na mkewe rais Tshisekedi, shemeji yake,ndugu zake na binamu zake, wote hawa wanakabiliwa na tuhuma za kuiba madini kwenye migodi iliyo mkoa wa Lualaba na Upper ,kusini mwa .
๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐