π–πŠπ‚ 𝐁𝐌 πŒπŽππ€ππ

  • Home
  • China
  • Beijing
  • π–πŠπ‚ 𝐁𝐌 πŒπŽππ€ππ
02/05/2025
01/05/2025

πŸ›‘πŸ‡¨πŸ‡© πŸ”΄ TAARIFA KUTOKA CONGO | KAULI YA PAMOJA YA UPINZANI KUHUSU MGOGORO WA KANDA

πŸ—£οΈ "Kurudi kwa wakimbizi wa ndani makwao na kurudishwa kwa wakimbizi wa nje katika nchi zao ni jambo la lazima kwa raia wote wa nchi za Kanda," ndivyo walivyosema Martin Fayulu, Joseph Kabila, MoΓ―se Katumbi na Delly Sesanga katika tamko lao la pamoja lililotolewa rasmi siku ya Alhamisi.

✊🏾 Kupitia msimamo huu, viongozi hao wanne wa kisiasa wanatoa wito wa majibu ya pamoja na jumuishi kwa mgogoro wa kiusalama unaotikisa Afrika ya Maziwa Makuu, wakisisitiza juu ya haki za watu waliokimbia makazi yao.

πŸ‡¨πŸ‡©

πŸ‡§πŸ‡«πŸ”΄  Mamilioni ya raia wa Burkina Faso sasa hivi wapo barabarani, wakifanya maandamano makubwa kupinga kuingiliwa kwa ma...
01/05/2025

πŸ‡§πŸ‡«πŸ”΄
Mamilioni ya raia wa Burkina Faso sasa hivi wapo barabarani, wakifanya maandamano makubwa kupinga kuingiliwa kwa mambo ya ndani ya nchi yao.
πŸ‡§πŸ‡« Hawataki tena Ufaransa wala Marekani ndani ya nchi yao.
πŸ’ͺ🏾 Wanamuunga mkono Rais wao Captain Ibrahim TraorΓ©, na wanasema: β€œTusiguse! Tuko na amani, maendeleo, na tunamtaka TraorΓ© abaki.”

πŸ“š Funzo la kimaadili: Hii ni mfano wa watu wanaojua wanachotaka β€” kupenda nchi yako ni kulinda uhuru wake! ✊🏾

30/04/2025
25/04/2025

Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Marco Rubio anatarajiwa kushuhudia utiaji saini wa makubaliano kati ya DRC na Rwanda, baada ya serikali ya Kinshasa na waasi wa M 23 kukubaliana kuhakikisha vita vinasitishwa.

25/04/2025

Shirika la Madaktari wasiokuwa na mipaka MSF linasema mmoja wa wafanyakazi wake alipigwa risasi Aprili 18, akiwa nyumbani kwake na watu wenye silaha mjini nchini .

Mafanyakazi mwingine pia aliuawa kwa kupigwa risasi mwezi Januari, katika makabiliano makali kati ya waasi wa M23 na wapiganaji wa .

19/04/2025

Rais wa zamani wa Kongo Joseph Kabila ametembelea Mji Mkuu wa Kivu Kaskazini Goma mashariki mwa DRC baada yake kurejea nchini humo.

15/04/2025

Jeshi la DRC, FARDC Jumatatu ya tarehe 14 ya wiki hii limethibitisha kuwaua wapiganaji 10 kutoka kundi la wapiganaji wenye silaha la CRP/Zaire linaloshirikiana na waasi wa M23 na ambalo linaoongozwa…

15/04/2025

Tume ya Umoja wa mataifa nchini DRC , imetupilia mbali tuhuma zilizotolewa na waasi wa wanaoungwa mkono na Rwanda kwamba monusco na walisaidia jeshi la Congo na wapiganaji wazalendo kushambulia uwanja wa ndege wa Goma na Kavumu, karibu na Bukavu, mwishoni mwa juma lililopita.

Address

Chinesseinteressent
Beijing

Telephone

+243899841640

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when π–πŠπ‚ 𝐁𝐌 πŒπŽππ€ππ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share