19/12/2025
Acha sasa niwapeleke way back, mwaka ni 2005 this story is about the woman you see here when I was a street kid for 3 years,, maisha ilikua ngumu sana pale kibera nlikua nalala kwa vibanda za reli , one meal a day, manyaunyo kila usiku from maasai , uku nimejaa jiggers kwa vidole , was waiting for msamaria mwema koz i was lossing it and skutaka kukua mwizi better kua chokoraa ,, then one day tukiuza screps sister wa catholic mzungu akapita hapo kibera laini saba mahali tulikua tunauza sreps alikua na mwamake mmoja mwafrika walikua na haraka , mtu wa screps akawaambia "sister si mchukue hawa watoto muwasaidie" .Kumbe walikua wanatafuta watoto wa kusaidia, wakasema watarudi next day koz wakona haraka,next day walikua tena wakatupata hapo, uyu mama mnaona, ndo alikua anafanya kazi na uyo sister alikua anampeleka around kibera, so yeye ndo nlianza kuishi kwake nkienda shule, she welcomed me from class 4 to form four, nilikua naishi kwake, she was now my mother, alinifunza vitu mingi sana , how to be kind, how to always be grateful how to share anything you have, and nikaujua ukikula lazima useme asanti , alimake sure uchokora imenitokaa ndo niwe mtoto mzuri, and sikuwai ata mkosea heshima ata kidogo, anytime tunameet she is always proud of me and am always proud of her aki,,Rose musa ubarikiwe sanaa momππππand i wish long life aki