
15/06/2024
Baadhi ya wahudumu wa treni ya kisasa ya umeme (SGR) wakiwa tayari dakika chache kabla ya kuanza safari ya pili ya kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro.
Kwa mujibu wa Shirika la Reli Tanzania, treni hii itafanya safari mara nne kwa siku, ambapo mbili ni kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro na mbili ni kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam.
Habari | Theresia Mwanga
Mhariri | John Mbalamwezi