Sufaju Media

Sufaju Media "Karibu kwenye chanzo chako bora cha habari! Tunakuletea taarifa za ukweli, burudani, siasa, michezo na mengine mengi – kutoka Tanzania na duniani kote.

Follow ujipatie uhondo kila siku!"

Eid Mubarak! 🌙✨Nawatakia ndugu, jamaa na marafiki wote siku njema ya Eid iliyojaa furaha, upendo na baraka nyingi. Mweny...
21/03/2026

Eid Mubarak! 🌙✨
Nawatakia ndugu, jamaa na marafiki wote siku njema ya Eid iliyojaa furaha, upendo na baraka nyingi. Mwenyezi Mungu akubali ibada zetu zote tulizofanya katika mwezi mtukufu wa Ramadhani na atujaalie kuendelea kuwa na moyo wa kumcha yeye.
Tujifunze kusameheana, kupendana na kusaidiana k**a ndugu. Furaha ya Eid iwe mwanzo wa baraka mpya katika maisha yetu.
Eid Mubarak kwenu nyote na familia zenu. 🤲

Ewe Mola wetu, tupe nguvu ya kufunga na kuswali,na utujaalie tuwe miongoni mwa wanaopata msamaha katika mwezi mtukufu wa...
13/03/2026

Ewe Mola wetu, tupe nguvu ya kufunga na kuswali,
na utujaalie tuwe miongoni mwa wanaopata msamaha katika mwezi mtukufu wa ramadhani 🤲🏽

Pete aliyokuwa anaivaa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ina maneno yanayosomeka “إِنَّ مَعِيَ رَبِّي” — Inna Ma‘iya Rabbi (Hakika ...
06/03/2026

Pete aliyokuwa anaivaa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ina maneno yanayosomeka “إِنَّ مَعِيَ رَبِّي” — Inna Ma‘iya Rabbi (Hakika Mola wangu yu pamoja nami) imezua mjadala mzito mtandaoni.

Kauli hii kutoka Surah Ash-Shu‘ara 26:62, aliyosema Nabii Musa (AS) wakati wa majaribu makali, ni ujumbe wa imani, subira na kumtegemea Mungu hata unapobanwa na dunia.

   Rais wa Marekani, Donald Trump hapo jana  alisema inapaswa ashiriki katika mchakato wa kumchagua kiongozi mkuu ajaye ...
06/03/2026

Rais wa Marekani, Donald Trump hapo jana alisema inapaswa ashiriki katika mchakato wa kumchagua kiongozi mkuu ajaye wa Iran, akisisitiza kuwa anatamani kuona uongozi mpya ambao utakuwa na mahusiano mazuri na Marekani.

🚨🇷🇺🇮🇷 Putin afanya mazungumzo na Rais wa Iran PezeshkianRais wa Urusi Vladimir Putin alipiga simu na Rais wa Irani Masou...
06/03/2026

🚨🇷🇺🇮🇷 Putin afanya mazungumzo na Rais wa Iran Pezeshkian

Rais wa Urusi Vladimir Putin alipiga simu na Rais wa Irani Masoud Pezeshkian, akielezea rambirambi juu ya mauaji ya Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei, familia yake, maafisa wengine na raia wakati wa uvamizi wa Amerika na Israel dhidi ya Iran, Ikulu ya Kremlin ilisema.

Putin alisisitiza msimamo wa Russia wa kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano na kurejea katika utatuzi wa kisiasa na kidiplomasia wa masuala yanayoizunguka Iran na Mashariki ya Kati.

Pezeshkian aliishukuru Urusi kwa mshik**ano wake na watu wa Iran wanaotetea uhuru wao, Kremlin iliongeza, akibainisha kuwa mawasiliano kati ya Moscow na Tehran yataendelea.

Kombora la Iran🇮🇷 limepiga kambi ya Marekani iliyopo nchini UAE🇦🇪
06/03/2026

Kombora la Iran🇮🇷 limepiga kambi ya Marekani iliyopo nchini UAE🇦🇪

Mwezi wa Qur’an, mwezi wa rehema, mwezi wa msamaha 🌙Tusikose swala, tusidharau funga, tusichoke kumuomba Allah.
01/03/2026

Mwezi wa Qur’an, mwezi wa rehema, mwezi wa msamaha 🌙
Tusikose swala, tusidharau funga, tusichoke kumuomba Allah.

Ewe Mola wetu, tupe nguvu ya kufunga kwa ikhlasi na kuswali kwa khushuu katika mwezi huu mtukufu  wa ramadhani 🌙✨
01/03/2026

Ewe Mola wetu, tupe nguvu ya kufunga kwa ikhlasi na kuswali kwa khushuu katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani 🌙✨

wambea hawaamini macho yao kinachoendelea kwa kiredio na vee 😅😅😅
14/02/2026

wambea hawaamini macho yao kinachoendelea kwa kiredio na vee 😅😅😅

Tumemaliza mechi zote tukiwa wa mwisho kwenye kundi letu ila hii haimaanishi kuwa tulishindwa hapana ila wapinzani wetu ...
14/02/2026

Tumemaliza mechi zote tukiwa wa mwisho kwenye kundi letu ila hii haimaanishi kuwa tulishindwa hapana ila wapinzani wetu walikuwa bora zaidi na wamefanikiwa kufunzu hatua inayofuata tutarudi msimu ujao tukiwa bora zaidi



Tuzo za Creator Awards zimetolewa kwa Watengeneza maudhui bora "Content Creators" kwa mwaka 2025 nchini Tanzania lakini ...
14/02/2026

Tuzo za Creator Awards zimetolewa kwa Watengeneza maudhui bora "Content Creators" kwa mwaka 2025 nchini Tanzania lakini cha ajabu Leonardo hajaambulia kitu
hii inahuzunisha sana hasa kwa content creators k**a Leonardo

funzo la maadili sio kila juhudi huzaa matunda

Address

India �

0009

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sufaju Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share