FAPD News

FAPD News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FAPD News, Media/News Company, kinama kitega, Jaipur.

12/07/2026
Inaripotiwa kuwa wanajeshi kadhaa wa Marekani wameuawa na wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la Iran lililolenga eneo...
12/07/2026

Inaripotiwa kuwa wanajeshi kadhaa wa Marekani wameuawa na wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la Iran lililolenga eneo la kijeshi nchini Kuwait.

Hata hivyo, idadi kamili ya waliouawa na kujeruhiwa bado haijathibitishwa rasmi na mamlaka za Marekani au Kuwait.

Vyombo kadhaa vya habari vimeripoti kuwa kulikuwa na vifo na majeruhi katika shambulio hilo.

‘Shoot me, Just let my son pass’: Final moments of Palestinian Ahmad Zaid
12/07/2026

‘Shoot me, Just let my son pass’: Final moments of Palestinian Ahmad Zaid

Saturday Update: The IDF reported eliminating several Hezbollah members allegedly involved in transporting weapons in so...
12/07/2026

Saturday Update: The IDF reported eliminating several Hezbollah members allegedly involved in transporting weapons in southern Lebanon's security zone.

📢📍
05/04/2026

📢📍

05/04/2026

missions impossible

Kwenye lile shambulio lililofanywa na Iran kwenye kambi ya “Prince Sultan Air Base” nchini Saudi Arabia na kufanikiwa ku...
16/03/2026

Kwenye lile shambulio lililofanywa na Iran kwenye kambi ya “Prince Sultan Air Base” nchini Saudi Arabia na kufanikiwa kulipua ndege tano za Jeshi la Anga la Marekani (US Air Force) za kujaza mafuta angani, Wanajeshi ambao walifariki ni k**a wafuatao:

1. Meja John A. Klinner, miaka 33

2. Kapteni Ariana G. Savino, miaka 31

3. Sajenti Ashley B. Pruitt, miaka 34

4. Kapteni Seth R. Koval, miaka 38

5. Kapteni Curtis J. Angst, miaka 30

6. Sajenti Tyler H. Simmons, miaka 28

Kufanikiwa kwa tukio hilo kunaongeza idadi ya ndege za Marekani za kujaza mafuta angani zilizoharibiwa na jeshi la Iran kufikia saba tangu kuanza kwa vita hivyo

Address

Kinama Kitega
Jaipur
3

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FAPD News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FAPD News:

Shortcuts

Share