Gladojuok obura

Gladojuok obura Influencer ๐Ÿ”๐ŸŽค
ARSENAL I๐Ÿ’ฏ๐Ÿ…ฐ๏ธ
Avoid sh*tโœด๏ธ๐Ÿ’ฅ

Best ohangla analyser

21/05/2025
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™†๐Ÿ‘‰Mapenzi ya kule highskul hayakuwa na jokes,hii one step mistake unapata mtu amemeza sumu akafa.Sasa kuna huyu dem nil...
16/05/2025

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™†๐Ÿ‘‰Mapenzi ya kule highskul hayakuwa na jokes,hii one step mistake unapata mtu amemeza sumu akafa.
Sasa kuna huyu dem nilikuwa nadate alikuwa anaitwa Linet.Sikuwa peke yangu juu pia Mwalimu wa Kiswahili alikuwa pia ananipiga competition.

Mimi nikapanga na Linet kuwa usiku wa kuamkia Saturday hivyo Friday jioni nitaenda kulala kwao juu alikuwa anaogopa kutembea usiku na mchana hangetaka aonekane na watu waambie wazazi wake fununu.Baada ya kutoka shuleni hiyo Friday jioni kitu saa mbili hivi mimi nilifunga mlango wa nyumba kutoka ndani kisha nikapitia kwenye dirisha ndio wazazi wangu wasijejua sikulala kwangu.

Nikatoka nikaelekea kwa akina Linet,
Naye Linet alikuwa ameniambia nikifika kwao niende hadi kwenye dirisha ya nyumba anayolala niibishe atajua ni Mimi anifungulie niingie.
Ilikuwa kitu saa nne usiku nikafika kwa akina Linet nikabisha dirisha alivyonimbia Linet

Hakuna aliyefungua,nikabisha kwa mara ya pili tena lakini wapi๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†...

Nirushie 100likes nimalizie hii kitu leo leo before 8pm

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅBOYCHILD๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‰Akh brother iwapo umeolewa na mwanamke wewe tafadhali nakuambia uanze kujipanga kwanzia sahii uondoke t...
16/05/2025

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅBOYCHILD๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

๐Ÿ’”๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‰Akh brother iwapo umeolewa na mwanamke wewe tafadhali nakuambia uanze kujipanga kwanzia sahii uondoke tu kwa hiyo boma.

Sasa kuna huyu Mama wa 64yrs kwa jina la Lucy Wanjeri kutoka Nyeri county,alikuwa ameniona tangu 2023,nimekaa naye kwa muda wa miaka miwili hivi๐Ÿฅฐ.Sasa bwanake aliaga lakini ako na watoto wanne.Kitinda mimba wake ninatoshana umri naye(25yrs).Mimi nilienda kwake kufanya kazi ya shamba boy lakini hatimaye akaniambia kuwa naweza kuwa mtu wake wa kumtoa kutu.

Juu sikuwa na Girlfriend Mimi naye nilikubali.Sasa nimekuwa nikimtoa kutu tangu hiyo 2023 hadi Jana jioni.
Kawaida Mimi kazi yangu kubwa kwa hiyo nyumba ya huyu Lucy ilikuwa tu ya kuosha vyombo kukula njugu na kupiga zoezi tayari kwa kujiandaa kwa mechi usiku anaporejea kutoka kazini.

Sijui shida ilitokea wapi jana Lucy akaingia akiwa amekasirika;

Me:Beb mbona leo hauna furaha?

Her:Wacha kunisumbua wewe mtoto.

Me: Sweetheart ๐Ÿ’• naomba tuketi chini tuongee ndio tuweze kutatua hiyo shida.

Her:Wewe Sasa nikae chini nawe una nini la kuniambia wewe mtoto๐Ÿ™†.

Akaondoka kuelekea kwenye chumba Cha kulala.
Lucy hajawahi nitamkia hayo maneno tangu tuanze kudate pamoja.
Nikaona hapa maji naona yamezidi unga.
Nifanyeje Lewamo??
Nikaamua kutulia kiasi kwa sofa ilikuwa kitu 7pm hivi.Nikawasha TV angalau niwatch News.

Kighafla Lucy akaja na akazima hiyo Televisheni...

Part 2 loading nifikishie 150likes niendelee ๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†

16/05/2025

Pastor typing....

๐Ÿ”ฐKijana achana na piano kiasi uende utoe sadaka๐Ÿฅน๐Ÿ’”

16/05/2025

๐Ÿค”"Eti wacha nipate mimba yake ndio asiniache"...Utalia kuliko huyo mtoto ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜‚

16/05/2025

๐Ÿฆ…

๐ŸฆšNANI AKO FREE TUCHEZE GAME YA MPESA UKITUMA NAMI NARUDISHA๐Ÿ’”๐Ÿ”ž

30/04/2025

๐ŸฆšAliniwacha ju ya kizungu yangu๐Ÿ’”But I cannot

doesn't me care ๐Ÿ˜‚

๐Ÿ™Ž

30/04/2025

๐Ÿฆ‹Black beauty mwache kutumia lipstick ya red mnakaa battery low ๐Ÿฅน๐Ÿ”ž

29/04/2025

๐Ÿฆ‹๐ŸฆšSHOSH AMEFICHA MKATE NIKAFICHA MENO YAKE HAKUNA KULA LEO ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿ”ž

29/04/2025

๐Ÿ’ขMBU IKIPEA NZI MIMBA ๐Ÿ™„๐Ÿ˜ฌINAEZA ZAA MBUZI SINDIO ๐Ÿคฃ๐Ÿ”ž

Address

Ahero

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gladojuok obura posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share