26/08/2025
Hi senge ..
My Husband hapendi watu wa kwao tangu nimjue as in alilelewa na step mother, ako na step sisters wawili wakubwa kila mtu ako na mama yake, ata mama mwenye ako sai sio mama yao, baba ndio mmoja, so kuna time k**a sijakutana na hawa in-laws kuna mwenye alikuwa anakol bwanangu analenga calls zake nikiulza mbona hataki kumwongelesha, anasema ati anajua tu anataka kumuomba pesa na yeye hana, kuna siku nikiwa na simu yake nawatch Netflix nikaona text " Kwani huyo bibi yako ndio anafanya hutaki kuniongelesha, amekuja kwa life yako umeanza madharau?!, mjinga sana," nilinyamaza tu akajua niliona hiyo text akasema pole, of late step sister mkubwa anamcall na pia hashiki simu . Leo amecall tena hakuchukua nikamuuliza mbona hushiki akarudia tu anataka kuniomba pesa na sina.. nikamshow shika simu uskie ni nini unaambiwa .... 😆 Amenijibu ati nataka ashike halafu baadae nianze kusema vile nachukia sister yake .. ati anajua tu sipendi watu wa kwao.
Ukweli me sichukii watu wa kwao ni ile mimi sipendi kukaa place kuna watu wengi.. tangu tumove in na yeye alinikataza kufanya job me ukaa tu kwa nyumba nikimaliza kazi najifungia nikitoka may be napeleka mtoto shule, niende nimchukue nirudi ndani ama niwe naenda church... Ata hivo hatukai nyumbani alitoka nyumbani ati hataki wazazi wake kunituma tuma ( nilikuwa nafulia hadi father in-law Nguo na vile unajua ni vibaya kwa waluhya. so my mum alinikataza vile nilimwambia may be ndio ilifanya akasema tutoke kwao) .. kitu imeniuma ni kusema ati me sipendi watu wa kwao . Aje sasa?! Juu nmemwambia ashike simu ya dada yake?!.. mahali tunaishi hakuna mtu wa kwao anajua na tunaishi town moja na brother yake lakini hajawai fika kwa hii nyumba,, nikiulza mbona anasema ati ni mwizi ,, oooh ako na fitina,,, .. nifanye aje juu naona anafanya watu wa kwao wananiaccuse kwa makosa sio yangu
Senge’s advice: watu wa kukaa kwa nyumba K**a sufuria mmefikiwa. Bwana yako ndiye anajua watu wa kwao , wacha kuforce issues! Halafu ndoa ni kusemwa 🤣kwani ni kesho! Na unafulia father Inlaw because of why? Kwani hujipendi! Wanawake wa kujipendekeza saurienu! Na ukapata nini kwa Nguo ya mkwe utasemaje🤣