
06/08/2025
Niko kwa ndoa kwa Miaka Matatu na Tuko na watoto wawili. Mama yangu mkwe ameniwekea pressure ati nizae mtoto wa tatu kabla tuishe nguvu. Senge watoto wangu wako months apart. Nimeenda family planning ndio wapate malezi mazuri. Mama mkwe anashinda kwangu kila siku ati K**a Niko na Shida anipeleke kwa Daktari wa kienyeji. Mme wangu naye hunyamaza tu hasemi kitu. Naomba advise yako tafadhali.
Senge: Mother Inlaw jameni! Hana huruma hata kwa wajukuu wake Wala mwanawe!
Dear women give birth to children you can comfortably and conveniently raise! Wacha pressure ya nje!