PeupePeupe Tv

  • Home
  • PeupePeupe Tv

PeupePeupe Tv Kenya's Number 1 online political TV and human interest stories GROUND

27/08/2026

Breaking News;Tsunami yaua mamia ya watu state of Nepal

"Sifuna unaendelea vizuri na naona watu wamekukubali ila nataka nikuombe uje tuunge rais Ruto wakati huu na ikifika 2032...
27/08/2026

"Sifuna unaendelea vizuri na naona watu wamekukubali ila nataka nikuombe uje tuunge rais Ruto wakati huu na ikifika 2032 sisi wote tutakuwa nyuma yako"~Lilian Siyoi

27/08/2026

:MAMA ROSELINDA ATWOLI VISITS MAMA SIFUNA

HABARI ZA HIVI SASA;Johnson Sakaja anatarajiwa kumenyana na Babu Owino kwenye kiti moto cha Ugavana kaunti ya Nairobi hu...
27/08/2026

HABARI ZA HIVI SASA;Johnson Sakaja anatarajiwa kumenyana na Babu Owino kwenye kiti moto cha Ugavana kaunti ya Nairobi huku Sakaja akitarajiwa kuja na Chama cha ODM kufuatia mazungumzo ambayo yanaendelea naye Babu Owino akitarajiwa kuja na Linda mwananchi

"Sisi hatumchukii Sifuna yeye ni ndugu yetu ila hofu yetu ni kwamba hao watu ako nao wako na historia ya kugeuka wenzao ...
27/08/2026

"Sisi hatumchukii Sifuna yeye ni ndugu yetu ila hofu yetu ni kwamba hao watu ako nao wako na historia ya kugeuka wenzao na kuwaacha kwa mataa jinsi walivyofanyia ndugu yetu mkubwa Musalia Mudavadi"~Hon.Beatrice Adagala

26/08/2026

Sifuna apigiwa upato mlima Kenya naye Cleophas Malala

"Sisi hatujazima nyota ya mtu,yule anayehisi anataka kuwa Rais aendeleze azma yake lakini nataka kuwaambia kuwa sisi tay...
26/08/2026

"Sisi hatujazima nyota ya mtu,yule anayehisi anataka kuwa Rais aendeleze azma yake lakini nataka kuwaambia kuwa sisi tayari tumejipanga hapo mbele 2032 na huo ndo wakati halisi Mluhya atakuwa Rais"~Musalia Mudavadi

Kesho saa kumi jioni Mumias East twasija
26/08/2026

Kesho saa kumi jioni Mumias East twasija

"Ni wakati turuhusu rais Ruto awatafute watu k**a Edwin W. Sifuna na Kalonzo ili awe na urahisi wa kushinda muhula wa pi...
26/08/2026

"Ni wakati turuhusu rais Ruto awatafute watu k**a Edwin W. Sifuna na Kalonzo ili awe na urahisi wa kushinda muhula wa pili"~Moses Kajwang Homabay senator

"Huyo Uhuru Kenyatta atamwacha Sifuna kwa mataa hatampea pesa na hapo ndo Sifuna atatukumbuka sisi Wazee"~Papa Atwoli
26/08/2026

"Huyo Uhuru Kenyatta atamwacha Sifuna kwa mataa hatampea pesa na hapo ndo Sifuna atatukumbuka sisi Wazee"~Papa Atwoli

Address

Western

Telephone

+254713487939

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PeupePeupe Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PeupePeupe Tv:

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share