Golden Digital TV Kenya

Website

Golden Digital TV Kenya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Golden Digital TV Kenya, TV Channel, Bungoma County, Bungoma.

THIS IS AN ONLINE TV STATION WE OFFER.. 👇👇CALL US 0704470261

📌Funeral Live Coverage.
📌Weeding Live Coverage.
📌Videography in your Event.
📌Commercial Advert.
📌Breaking News.
📌All Events Coverage.
📌Live Broadcast & Interview.
📌Promoting Talents

Today early morning Seneta Sifuna and Othe Linda Mwanachi leaders during Church service at All Saints Cathedral, Nairobi...
13/09/2026

Today early morning Seneta Sifuna and Othe Linda Mwanachi leaders during Church service at All Saints Cathedral, Nairobi.
After there They have started their Tour officially in Nairobi and are expected in different Towns.

TAARIFA KUU ZA KIMATAIFA!Hafidh Ameir Hassan, mmewe Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amezikwa rasmi Jumatatu, Leo jioni, k...
07/09/2026

TAARIFA KUU ZA KIMATAIFA!
Hafidh Ameir Hassan, mmewe Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amezikwa rasmi Jumatatu, Leo jioni, kuambatana na utaratibu wa dini ya kiislamu, mazishi hayo yakifanyika saa chache tu baada ya kifo chake katika Hospitali ya Mzena nchini Zanzibar.

MUMEWE WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMEAGA LEO ASUBUHI MAANDALIZI YA MAZISHI TAYARI YANAANDALIWA.ENDELEA K...
07/09/2026

MUMEWE WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AMEAGA LEO ASUBUHI
MAANDALIZI YA MAZISHI TAYARI YANAANDALIWA.
ENDELEA KUTUFUTILIA TUTAKUPA TAARIFA ZAIDI.

Victor Kere, ambaye ni msaidizi wa Mbunge wa Sirisia JohnWaluke, ametangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti cha MCA wa Ma...
04/09/2026

Victor Kere, ambaye ni msaidizi wa Mbunge wa Sirisia JohnWaluke, ametangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti cha MCA wa Malakisi South–Kulisiru Ward katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.

Kere alitangaza azma hiyo alipokuwa akihudhuria shughuli za mazishi ya marehemu Mama Rodah King’oro huko Namang’ofulo, ambapo alizungumza na waombolezaji na wananchi waliohudhuria.

Akizungumza katika hafla hiyo, Kere alisema yuko tayari kuingia katika kinyang’anyiro hicho na kuomba ridhaa ya wakazi wa Malakisi South–Kulisiru Ward katika uchaguzi ujao.

Tangazo hilo linaongeza idadi ya wanasiasa wanaojitokeza mapema kutafuta nafasi ya uwakilishi katika wadi hiyo kuelekea uchaguzi wa 2027.

Follow Golden Digital TV Kenya For More Updates

HON. LEVI MAKALI AREJEA UWANJANI, AZINDUA RASMI KAMPENI ZA UBUNGE SIRISIAUzinduzi wahudhuriwa na viongozi na wanasiasa m...
03/09/2026

HON. LEVI MAKALI AREJEA UWANJANI, AZINDUA RASMI KAMPENI ZA UBUNGE SIRISIA
Uzinduzi wahudhuriwa na viongozi na wanasiasa mbalimbali kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.

Mwanasiasa Hon. Levi Makali, ambaye awali alijaribu kuwania kiti cha Ubunge katika Eneo Bunge la Sirisia, ametangaza kurejea katika kinyang’anyiro hicho baada ya kuzindua rasmi kampeni zake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027.

Uzinduzi huo umehudhuriwa na wanasiasa na viongozi mbalimbali, akiwemo Jemima Mzaidizi wa Mbunge wa Kimilili, Didmus Wekesa, ambaye pia anatajwa katika kinyang’anyiro cha ugavana wa Bungoma County mwaka 2027. Pamoja na Madam Esinus Simiyu, ambaye pia anatafuta kiti cha MCA Malakisi South Kulisiru 2027.

Makali amesema kurejea kwake katika siasa kunalenga kuendelea na safari yake ya kisiasa huku akiwataka wananchi wa Sirisia kuunga mkono azma yake.

Follow Golden Digital TV Kenya For More information

02/09/2026

Katibu wa Baraza la Mawaziri, CS Wycliffe Oparanya, amekutana na wazee kutoka eneo la Sirisia katika kikao kinachofanyika nyumbani kwa Mbunge wa Sirisia, Hon. John Waluke.

Kikao hicho kimewaleta pamoja viongozi pamoja na wazee wa eneo hilo kwa mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali yanayogusa wananchi na maendeleo ya eneo la Sirisia.
Follow Golden Digital TV Kenya For More information

HON. MOSES WANJALA NANDALWE AJIONDOA MBIO ZA UBUNGE SIRISIAAelekeza Nguvu Zake Kwenye Kiti cha MCA Malakisi South–Kulisi...
01/09/2026

HON. MOSES WANJALA NANDALWE AJIONDOA MBIO ZA UBUNGE SIRISIA
Aelekeza Nguvu Zake Kwenye Kiti cha MCA Malakisi South–Kulisiru Ward 2027

Mwanasiasa Hon. Moses Wanjala Nandalwe, ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitafuta nafasi ya ubunge katika Sirisia Constituency, amejiuzulu kutoka katika mbio hizo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.

Nandalwe amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kusikiliza na kutafakari maoni ya wananchi wengi ambao wamekuwa wakimshauri achukue mwelekeo huo.

Akizungumza na Golden Digital TV Kenya kwa njia ya simu, Hon. Moses Wanjala Nandalwe amethibitisha uamuzi wake wa kujiondoa katika mbio za ubunge.

Hata hivyo, Nandalwe amesema safari yake ya kisiasa haijaishia hapo, akifichua kuwa sasa analenga kuwania kiti cha MCA cha Malakisi South–Kulisiru Ward katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.

Hatua hiyo inatarajiwa kuongeza ushindani wa kisiasa katika Malakisi South–Kulisiru Ward, huku Nandalwe akianza kuelekeza nguvu zake katika nafasi hiyo mpya.

Follow Golden Digital TV Kenya For More information

Hii ni nini Mheshimiwa Seneta Sifuna na Babu Owino wanakula?Na ina manufaa yepi?
31/08/2026

Hii ni nini Mheshimiwa Seneta Sifuna na Babu Owino wanakula?
Na ina manufaa yepi?

Huyu anautwa Mbeumo anafanana na nani huko kwenu 🤗Full time score Man u 5-2 Ipswich Chelsea 4-3 Brighton Sunderland 1-0 ...
30/08/2026

Huyu anautwa Mbeumo anafanana na nani huko kwenu 🤗
Full time score
Man u 5-2 Ipswich
Chelsea 4-3 Brighton
Sunderland 1-0 Fulham
Leeds 1-1 Brentford

Na wewe ni fan wa team gani bytha

30/08/2026

MEDIA PRESS BRIEFING FROM BINONOLE CHARLES ASPIRANT FOR MCA MALAKISI S.KULISIRU WARD.

Address

Bungoma County
Bungoma
50208

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Golden Digital TV Kenya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category