
06/07/2025
Sai wasichana wengi wanauliwa sana lakini nikiwaambia sababu wananitukana ,,Stop looking for the rich men sababu hujui amepata pesa yake aje,,,
Look for a man with a brain mtafute pesa pamoja,,, we are not rich lakini chakula tunaeza pata daily
Hii mentally ya "do not settle for less" has led many to the grave
Ushajiuliza mbona wale wameuliwa wanapatikana bila part flan za mwili?? Because some of the one you call rich, sacrifice them for wealth. Ni perspective yangu tu,, sina evidence
As a lady stop setting standards, set alarm uende utafute hustle
Msirushe mawe nko Na allergy ๐คฃ๐คฃwatch out ๐ ๐ ๐PENZI LA MGANGA EPISODE 2 IS NOW OUT ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ ๐ https://youtu.be/m8BThPqUekU?si=OlZhzhFyVVrzakEh